MABOMU, MABOMU, KIGAMBONI CHUO CHa MWL. NYERERE!!!!!!!

MABOMU, MABOMU, KIGAMBONI CHUO CHa MWL. NYERERE!!!!!!!

mizambwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2008
Posts
4,421
Reaction score
1,792
Kumetokea mtafaruku leo mchana huko maeneo ya Kigamboni DSM katika Chuo Cha Mwalimu Nyerere, baada ya Vijana wa Afande SELE kutuliza ghasia kwa njia ya kurusha mabomu kuwatawanya wanafunzi wa IFM katika chuo cha Mwalimu Nyerere ambao walikuwa katika kikao na Afande SELE huko Kigamboni kumuelezea kuhusu madai yao ya Jeshi la polisi kutowapatia Ulinzi na kusababisha Wanafunzi kuvamiwa, kuibiwa na Kubakwa na Majambazi hao.

Hizi ni taarifa ambazo nimezipata kwa njia ya Simu kutoka kwa shuhuda aliyekuwepa eneo la tukio. Na amenipa Link hii ya Michuzi Blog; sakata lilipoanzia huko DSM katikati ya mji na mwishowe kuelekea Kigamboni kwa ushahidi ili Afande SELE akashuhudie.

Kwa wenye taarifa zaidi kinachoendelea huko naomba tuungane pamoja kutuzana.

FUATA LINK HII NA PICHA.


Kamanda kova akutana na Wanafunzi wa Vyuo vya IFM na Mwalimu Nyerere kuzungumzia matatizo yao ~ JIACHIE

=====================================================================================================

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom