Msaada Wa Police Sasa Fire Mataa~ Dar.

Msaada Wa Police Sasa Fire Mataa~ Dar.

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Njia zote zimefunga hapa fire sio ya kwenda wa kutoka muhimbili, kariakoo/posta, magomeni na n.k

Msaada wa kuachanisha hili, kwani moto ukitokea sasa hivi fire hapa haziwekupita na ambulance kuelekea muhimbili haiwezi kwenda ....

msaada plsssssss
 
Poleni sana,

Huwezi kupata Askari hapo kwani inasemekana kuwa Vijana wa KOVA wote wapo KIGAMBONI, KATIKA CHUO CHA MWALIMU NYEYERE kuna mgomo hivyo Askari wanarusha mabomu ya machozi kama hawana akili nzuri.

Labda kwa walio maeneo ya Kigamboni Chuo Cha Mwalimu Nyerere watujuze kinachoendelea huko Kigamboni.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom