thepresidar
Member
- May 6, 2011
- 34
- 6
Ndugu wa JF hivi ni kweli kabisa hizi rushwa za hapa bandarini nazo mpaka wahusika waletewe majina au tuelewe wasimamiaji wa hizi sehemu nyete nanyi wezi?haiwezekani mtu anakudai hongo bila hata woga,mpaka walinzi wa mlangoni gate no 2 hatari tupu,Tanzanian tunajitia aibu watu wanakuja kuchukua magari yao bandarini utadhani wamekuja kuya nunua upya..mi binafsi na shangaa hivi hawa viongozi hawayajui haya?hata anaekupeleka kukuonyesha gari lako pia anataka hongo la sivyo utatembezwa hadi ukome,jana nambiwa siwezi toa gari kisa nimepakiza mzigo ya ndani tu kwa ajili ya matumizi nambiw mpaka nilipe $100 nikakataa mpaka saa saba nimerudi leo asubuhi watu wa shifti nyingine wana ni dai $300 ndo nitoke sasa najiuliza hii ni kodi na lipa au ni nini?hivi viongozi wa bandarini hawajui kama vijana wao ni wezi?Tuanatia aibu sana nchi hii