Nilipokuwa nasikiliza vichwa vya habari vya magazet asubuhi leo ni kakutana na habari Wabunge 7 wa CHADEMA wahamia CCM, baada ya kufuatilia gazeti nimelisoma na kugundua kuwa kilichoandikwa ni tetesi tu. Kwa mtazamo wangu hawakupaswa kuandika habari nyeti namna hiyo na huku hawana uhakika nayo. Nakumbuka Mwigulu wiki mbili zilizopita aliwahi kueneza propaganda hii ya kipuuzi. Na wao leo wamekurupuka na kuiandika.
Tukisema gazeti hili limejiingiza kwenye mchezo mchafu wa akina Mwigulu tutakua tunakosea ? CCM iliyokuwa inasifika kwa propaganda haipo wamebaki waropokaji. Nadhani mtu anayeitwa Mwigulu na Nape ccm isipo wakalisha chini na kuwaonya tegemeeni mwaka 2015 kuwa chama dhaifu cha upinzani.
Swali kwa nini wasijiridhishe kwanza na taarifa kabla ya kuandika ? Mimi ningekuwa ndo mmiliki wa gazeti hilo mkurugenzi, mhariri na timu yake yote nzima ningekuwa nimewatemesha kazi
Pengine gazeti hili linatumika vibaya na CCM, lakini Mmiliki inampasa ajue kwamba hao watu wake wanamharibia biashara
Pia kwa upande wa CDM kuna haja ya kufuatilia tetesi hizo na kama si za kweli basi gazeti likanushe uzushi huo la sivyo lishitakiwe