Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana JF salaam, naomba nipate mchango wa mawazo juu ya hili. Umeme wa Tanesco sasa umekuwa ni umeme usiyo salama tena kufuatilia hasara mbalimbali tunazozipata kutokana na kupungua au kuongezeka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Seven men who robbed jewellery shop sentenced to death by firing squad and crucifixion The main defendant, Sarhan al-Mashayeh, will be crucified for three days The six others will face firing...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tangu kituo cha utangazaji Tanzania TBC1 kiingie nchini kenya, Sijaona taarifa yoyote ya maana, kwani habari zao haziko up-todate na kama zikiwa "live" Basi huyo Marin Hassan anakoroma tu. Si...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kila kukicha watawala wanakwenda kuhiji kwa mke wa Nyerere lakini hskii wakienda kumtembelea mkewe marehem Idrissa Abdul wakil au hata About Jumbe hapo kigamboni kulikoni? MICHUZI: MAKAMU WA RAIS...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Absalom Kibanda amesafirishwa kwenda nje kwa matibabu zaidi.tumwombee kwa Mungu apone haraka
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mheshimiwa waziri wa mambo ya ndani, napenda nikufahamishe kwamba, ukiwa mkoani mwanza ukaingia katika kituo cha polisi cha kati (mwanza central police) kisha ukapanda ngazi na kuingia katika...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
MKURUGENZI WA TANESCO ALIEFUKUZWA MH WILLIAM MHANDO YAMEMKUTA HIVI KARIBUNI BAADA YA KUTAPELIWA NA MTU ALIEJIITA MCHUNGAJ WA KANISA MOJA KIGAMBON; VYANZO VYA NDAN VYA POLISI VINASEMA MH MHANDO...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Niko maeneo ya Kinyerezi nasikia vishindo vya milipuko. Kulikoni wadau?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais wa senegal Macky Sall, anasema kuwa serikali itafunga shule zote za mafunzo ya dini ambazo zitakosa kutimiza mahitaji ya usalama kwa watoto. Matamshi yake Rais Macky Sall, yanajiri baada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeshuka kutoka kwenye panton muda si mrefu naona TRA wakisaidiana na trafiki kukagua kadi za magari yote so wale wenye taxi bubu au mlo-forge stika beware
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu! awali yote hii thread haiwahusu wanaotafuta kazi na tenda, kuna baadhi ya watu wahold position mbali mbali, huku wakishindwa kuzitendea haki nafasi zao. Kuna msemo unasema...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Breaking news ni habari muhimu ya tukio lililo tokea au linaloendelea kutokea ambalo umuhimu wake unaleta haja ya wasomaji/wasikilizaji/watizamaji kutaarifiwa punde tu habari za tukio hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pamoja kuwa na uwezo wa kufanyakazi ,elimu na uchumi mkubwa katika nchi yao lakini bado jamii ya Wakenya wengi sio wastaarabu katika maisha halisi kama kupenda ugomvi,kuuana,majungu makazini...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
MORUWASA ndio wenye jukumu la kusambaza maji safi katika Manispaa ya Morogoro kwa kutumia vyanzo mbali mbali vya maji vinavyopatikana. Takribani wiki mbili na zaidi sasa maji tunayosambaziwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Tunahitaji msaada huyu askari mwenye jina tajwa hapo juu amekuwa akiwahadaa na kuwaibia vijana waliofeli Form four akiwadanganya kuwaunganisha JKT. Wamekuwa wakituma vyeti vyao na yeye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika ofisi zote za halmashauri ya wilaya Kisarawe hakuna sehemu ambayo mtu anaweza kukaa wakati anasubiria huduma, hakuna bench, kiti au mahali popote pa kukaa, kitu kinachowalazimu wenye shida...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa muda wa siku kumi zilizopita Mihadhara na Mawaidha ya uchochezi pamoja na vijiwe vya uchochezi wa kidini vimepungua na kuwa kimya kabisa. At least now tunalala vizuri bila mawaidha ya chuki za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hili ni wazo langu maana leo nimepata tabu sana kulisoma na kuelewa na sijawaelewa ikifika weekend hasa jumamosi na jumapili inabidi niwahi mapema sana kupata nakala yangu moja cha kushangaza leo...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Naomba number ya Mh JK ,kuna number ambayo ni public aliyo itoa mkuu wa kaya kwa public ,ikiwa haina kikwazo cha kutolewa naiomba ,kama ina ukificho ni PM Natangauliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Closed
Kisa mmojawapo kukiuka makubaliano ya kuanzisha king'amuzi kimoja. Na taarifa zinasema mmoja wapo anajiandaa kwnda mahakaman kudai fidia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom