Matumizi ya neno breaking news

Matumizi ya neno breaking news

nash2010

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2010
Posts
624
Reaction score
216
Breaking news ni habari muhimu ya tukio lililo tokea au linaloendelea kutokea ambalo umuhimu wake unaleta haja ya wasomaji/wasikilizaji/watizamaji kutaarifiwa punde tu habari za tukio hilo zinapopatikana. Neno hili linatumiwa kwa ajili ya kuonesha umuhimu wa habari kwa msomaji/msikilizaji/mtazamaji ili kupata attention ya msomaji/msikilizaji/mtazamaji kwa habari hiyo.

Kwa hapa jamiiforums ili hili neno liwe na maana inabidi atleast tujitahidi kuweka breaking news za kwenye jukwaa la utani, uko uko na kwenye majukwaa mengine zipostiwe breaking news halisi na si zile za mzaha mzaha.
 
Back
Top Bottom