Habari wana jf
Leo majira ya saa 7:00 hrs asubuhi moto umeteketeza nyumba Kasulu,Kigoma Opposite na Bank ya NMB Kasulu,ila mpaka sasa chanzo cha moto huo bado akijajulikana kwa kweli...
Habari wanaJF
Leo nimekuja hapa ofisi za halmashauri ya jiji la mbeya,nina shida katika ofisi ya Afisa utumishi tangu saa tano asubuhi niko hapa na sasa ni saa tisa na nusu(9.30) sijapata...
Leo asubuhi kwa saa za kitanzania muda wa saa 3.30. Police wa usalama barabarani hapa mjini Lushoto wamekamata magari yote ya Taxi, magari haya aina ya Escudo ambayo kutokana na jografia ya...
Mwalimu wa kwanza Tanzania wa daraja la A(Grade A) ambaye pia alikuwa ni padre wa jimbo kuu katoliki la Songea padre John Fratera Gama amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Marehemu...
Ofisi hizi zinatia aibu kwa kweli jamani
1. Makao Makuu ya airtel yako kibarazani katika nyumba moja mtaa wa four ways tanga. Kuna kabenchi ka wahudumu wawili (akina dada) hakuna kiti cha wateja...
Kamishna Mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa,Navi Pillay, amelaani mashambulizi mabaya yaliyofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi au Albino nchini Tanzania ikiwemo mauaji ya mtoto...
Nionavyo mimi jeshi la polisi linapoteza muda na hela ya wananchi kuunda tume zenye mrengo wa kisiasa kuchunguza matukio ya kihalifu ambapo kimsingi wao ndiyo watuhumiwa namba moja. Nani asiyejua...
DAWASCO wameamua kuja na system ya meters za pre-paid kwa ajili ya matumizi ya maji, sawa na meter za LUKU zinazotumika kwa ajili ya umeme, mpango huo utaanza kwa njia ya majaribio maneo ya Dar...
TAMKO LA MTANDAO WA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU KUFUATIA SHAMBULIO LA KIKATILI DHIDI YA MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI BW. ABSALOM KIBANDA
Machi 07, 2013
Mtandao wa watetezi wa haki za...
WANA-JF HABARI
Kutokana na matukio yanayoendelea kwasasa hapa nchini imefika wakati sasa kwa jeshi la polisi kumhoji Mwigulu Nchemba kwayale aliyoitangazia dunia kuwa ana cd inayoonyesha...
Shule 7 misikiti 700, wanapongezwa? kama trend itakuwa hivyo siku shule zikiwa 700 manaake misikiti 70,000! nitawapongeza pale itakapokuwa misikiti 700 shule 700
Great. waige mfano wa wakristo...
SIFA ZA JESHI LA POLISI TANZANIA.
Yawezekana tunalalamikia sana jeshi la polisi, na halijaweza kubadilika. Leo nimeona niweke humu sifa za jeshi la polisi nchini, ili wakisoma kasoro zao...
Ni tukio la kusikitisha sana mwenye nyumba Ndugu Ali Mbonde amenitapeli yeye na dada yake Tatu Mbonde,
Ilikuwa hivi, niliona frem za biashara pale Tegeta Kibaoni stand ya zamani ya magari...
Kwa kiasi kikubwa ilifanikiwa sana mpaka sasa kila kitu safi (Mswano). Kila Dr amekuwa kunguru. Wahusika wakaona Haaa kumbe hili swala mwarobaini wake mzuri sana.
Je mafanikio katika hili tukio...
Tuliona gazeti la Mwanahalisi likifungiwa kwa habari ya kiuchunguzi inayomuhusu mtumishi wa serikali kushiriki kumteka Dr.Ulimboka. Tunafuatilia kesi ya mauaji ya mwandishi Mwangosi, ujanja na...
Nasikitika kuwa walimu wilaya ya Sengerema wanatendewa isivyo hasa katika swala zima la madai yao, zikiwemo kupanda madaraja, likizo na matibabu.
Ndani ya mafaili barua za madai halali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.