WAKENYA hawajastaarabika {uncivilized}

WAKENYA hawajastaarabika {uncivilized}

mmasai kilema

Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
63
Reaction score
29
Pamoja kuwa na uwezo wa kufanyakazi ,elimu na uchumi mkubwa katika nchi yao lakini bado jamii ya Wakenya wengi sio wastaarabu katika maisha halisi kama kupenda ugomvi,kuuana,majungu makazini, roho mbaya ,uongo,ukabila etc.

Pia wanapenda hela kuliko hata uhai wa mtu. Na hii hasa wakaazi wa bara namaanisha ukiacha wale wa pwani kama Mombasa .

Ushauri wangu kwa watanzania hawa watu usijichuuze kufanya nao urafiki wa aina yeyote au mahusiano ya kimapenzi ni ngumu sana kuendana nao.

Ni tamaduni mbili tofauti sana,Tuwe makini sana na hawa watu Kwa anayewafahamu atakuwa amenielewa.
 
acha chuki, hazikuingiziii pesa yeyote mfukoni mwako, piga kazi, uwe na mawazo ya kuongeza kipato, sio kuongeza chuko moyoni mwako, ukipiga umbeya hupati faida yeyote, usipopiga umbeya vilevile.
 
acha chuki, hazikuingiziii pesa yeyote mfukoni mwako, piga kazi, uwe na mawazo ya kuongeza kipato, sio kuongeza chuko moyoni mwako, ukipiga umbeya hupati faida yeyote, usipopiga umbeya vilevile.
Kwa hiyo bora tu apige umbeya.

Ila jamaa wapo tofauti aisee!
 
Hii sasa ni chuki isiyofaa kabisa. Ushindwe na ulegee. Shetani atoke ndani yako...
 
Chuki binafsi haifai eeh, makazinii..majumbanii..hapa naimba tu wimbo..
 
Sina nia mbaya wala chuki. Naipenda Tanzania, nawapenda Watanzani . Nimeishi na Wakenya na ndio maana mwisho nimetoa ushauri kwa ndugu zangu watanzania wawe waangalifu na hawa jirani zetu . Tofauti yao na sisi ni kubwa sana kitabia.
 
Kuna wazungu wameishi na wanaijeria wakafanyiwa uhuni wa kinajeria halafu wakageneralize kuwa waafrika ni wahuni. Ikiwa hawa ndio wazungu wanaojua watu weusi wote ni waafrika na ukakutana na wazungu wa namna hiyo, utapata attitude ambayo itakukera mno. Ukiingia kwenye duka la mzungu mwenye duka la mzungu mwenye attitude hiyo utachunguzwa kila hatua unayopiga ili usiibe vitu. Ukipanda basi la wazungu wenye attitude hiyo kila mtu atajisogeza mbali na wewe.

Je unadhani tabia ya kuhukumu taifa kwa kosa la mtu mmoja au watu wachache ni sahihi?
 
[COLOR=#ff0000 said:
mmasai kilema[/COLOR];5844522]Pamoja kuwa na uwezo wa kufanyakazi ,elimu na uchumi mkubwa katika nchi yao lakini bado jamii ya Wakenya wengi sio wastaarabu katika maisha halisi kama kupenda ugomvi,kuuana,majungu makazini, roho mbaya ,uongo,ukabila etc.

Pia wanapenda hela kuliko hata uhai wa mtu. Na hii hasa wakaazi wa bara namaanisha ukiacha wale wa pwani kama Mombasa .

Ushauri wangu kwa watanzania hawa watu usijichuuze kufanya nao urafiki wa aina yeyote au mahusiano ya kimapenzi ni ngumu sana kuendana nao.

Ni tamaduni mbili tofauti sana,Tuwe makini sana na hawa watu Kwa anayewafahamu atakuwa amenielewa.

mmasai kilema, pole kwa ulemavu uliopata.
 
Chuki binafsi haifai eeh, makazinii..majumbanii..hapa naimba tu wimbo..
WaKenya hawafai na ni mara ngapi waTanzania wanarudishwa au kunyimwa kazi huko Kenya
Huku kwetu kila mahali Wamejaa, wasio wajua ni wadogo ambao 1975-77 hawakuwepo, walijazana na Maduka ya rejareja hawataki kazi nyingine na mambo kibao
Jamani fungukeni hawa watu sio wa kuwakaribisha wala kwenda kwao, Mwai Kibaki bado ametuomba tutembee lakini bora uende Nchi nyingine lakini sio hizi za E.A wanatudharau kwa upole wetu

Waoneni tu kwenye Mahoteli yao ni dharau na Manyanyaso
weeeeee Waita kuja hapa leta bia mm napesa alipa wewe nakaa hapa na kuishi bila kazi??
 
Wanapenyeza taratibu awareness ya UKABILA NCHINI MWETU take care Tanzanians.
 
Sina nia mbaya wala chuki. Naipenda Tanzania, nawapenda Watanzani . Nimeishi na Wakenya na ndio maana mwisho nimetoa ushauri kwa ndugu zangu watanzania wawe waangalifu na hawa jirani zetu . Tofauti yao na sisi ni kubwa sana kitabia.

Hapo umenena Mkuu.

Hawa jirani zetu wamekuzwa katika ukabila. na hii imewafanya wawe wabinafsi, roho ya upendo na kujali wengine haipo kabisa kwao. Waoaji na waolewaji jihadharini.
 
Kuna ukweli ndani yake hawana tofauti sana na Wanyaru wao huwa wanasema Rwanda ni ya Ya Wanyaru. So Watanzania Tusibweteke. Ukiona wanakuchekea sana jua wana kitu wanakitaka kutoka kwako wakishakipata wanakudump. Ndio maana hata sikupendezewa na ile barabara eti ku-rename Mwai Kibaki. Nonsense.
 
Wanyaru ndo akina nani hao,au unamaanisha WAHEHE ?
 
Kuna ukweli ndani yake hawana tofauti sana na Wanyaru wao huwa wanasema Rwanda ni ya Ya Wanyaru. So Watanzania Tusibweteke. Ukiona wanakuchekea sana jua wana kitu wanakitaka kutoka kwako wakishakipata wanakudump. Ndio maana hata sikupendezewa na ile barabara eti ku-rename Mwai Kibaki. Nonsense.

Mkuu mbona unachanganya habari? Wanyaru hawako Kenya wala Tanzania unazungumzia nini hapa??

''Wakenya wengi sio wastaarabu katika maisha halisi kama kupenda ugomvi,kuuana,majungu makazini, roho mbaya ,uongo,ukabila etc.''

Ndugu yangu una data za kutosha au ulikutana na Wakenya wawili na mkazinguana kwa hiyo unaona wote wapo kama hao ambao umekutana nao wewe.........?! Si sahihi kuchukua mambo sensitive kijuujuu na kiujumla kwa namna hii....
 
Sina nia mbaya wala chuki. Naipenda Tanzania, nawapenda Watanzani . Nimeishi na Wakenya na ndio maana mwisho nimetoa ushauri kwa ndugu zangu watanzania wawe waangalifu na hawa jirani zetu . Tofauti yao na sisi ni kubwa sana kitabia.

sio wote. wapo wakenya wazuri sana tu...
 
Back
Top Bottom