Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dear JF Members It's my moral responsibility to share with you about The Life Changing Lessons on the Parable of the Pipeline as follows: The story is about Pablo and Bruno who...
0 Reactions
0 Replies
23K Views
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma ,kweli tunakubali juhudi zako za kukabiliana na uhalifu. Shida yangu ni huu uharifu wa barabarani hususan usafiri wa daladala. Unapopanda daladala kwa mfano...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nhende Ng'wanandilima mkazi wa Kwimba akiwa Hospitali ya Bugando. AMA kweli pombe mwanaharamu, ukimkuta mtu anasifia pombe basi mpe pole yake kwani hayo ni matumizi mabaya ya akili alizopewa bure...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
NI Matumaini yangu kwamba wote mu wazima na wapo wanaoendelea na kazi mbalimbali katika kulijenga Taifa ili na pia wapo wengine ambao pia ndo mmeisha toka kazini ama sehemu ile inayokupatia kipato...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii imetokea jana,ndugu yangu alitoa taarifa polisi kuwa jirani na kwao kuna mhadhara wa dini ya kiislamu na wanakashifu ukristo,wakamuuliza jina akawatajia,baada ya muda alipigiwa simu na OCD wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
...Jana Usiku niliangalia kipindi cha Tv katika TBC 1 kinachoitwa PPR kipindi kilikua kinazungumzia maonesho ya SABA SABA...na walikua wanahoji kazi za VETA na PRIDE ..Muongozaji /Mtangazaji...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Majira ya saa 7 na robo maeneo ya kota za bandari karibu na barabara ya Mandela, wakala mmoja wa huduma hizo amelizwa baada ya kuweka pesa kwenye a/c ya mteja kiasi cha 480000/= na kupokea pesa za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Kenya umevuta hisia za Watanzania wengi! Kumejitokeza na ushabiki mkubwa sana ,Ni kweli kutokana na mwingiliano wa kiuchumi ,kijamii na kisaisa matokeo yake ya athari kwa...
0 Reactions
77 Replies
6K Views
Ukweli Tanzania si nchi salama tena sema idadi ya wanauwawa kwa wakati mmoja sio wengi. Mauaj ya kila kona mateso ya waandishi wa habari, ujambazi, ujangili ndani ya hifadhi. Viongozi kutumia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mambo vipi! wana jamvi, leo naomba kuuliza kuhusiana na kitu ambacho nimekutana nacho leo muda si mrefu katika benki moja ambayo ipo maeneo ya banana ukonga, nimemuona askari polisi akiwa amevaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimefurahi kwa jinsi vijana na sura mpya kwenye siasa za Kenya walivyowagaragaza wazee na vigogo wa siasa za Kenya kwa hilo nawapongeza wananchi wa Kenya,hii ni changamoto kubwa kwa vijana na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Miongoni mwa mikoa inayozalisha umeme hapa nchini ni pamoja na mkoa wa Mororgoro hasa wilaya ya Kilombero, hivyo watu wa wilaya hii wanasababu kubwa ya kufurahia utajiri wa vyanzo vya nishati ktk...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
WAKULIMA wa miwa kutoka vyama sita wa Bonde la Ruhembe, wilayani Kilosa , wameazimia kuacha kulima miwa kufuatia hatua ya Kampuni ya Sukari ya Ilovo, kupunguza ya bei ya miwa kutoka Sh 69,000 hadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sidhani kama bado kuna watu wanajivunia kuwa watanzania kama tulivyokuwa tukikaririshwa kwa matendo na nyimbo nzuri za mchakamchaka enzi zile p/school. Sasa huku kahama, buzwagi mashimo yanazidi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni maeneo ya Clock Tower City Centre hapa, maji hakuna kama siku 3 mfululizo, nikipiga hotline ya DAWASCO napata ujumbe kuwa naweza kulipia maji kwa scratch card!!:frusty:, website nayo section ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni bati nzuri kwa muonekano na ukiziangalia tokea mbali huwezi kuzitofautisha na vigae. Nimezipenda na ninataka kuzinunua kwa ajiri ya kuezekea nyumba yangu. Kuna rafiki yangu kaniambia siyo nzuri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Samweli Sitta, amezindua "Tangoforums, yenye lengo la kuibua mijadala mbalimbali kuhusiana na Afrika Mashariki. Uzinduzi huo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hawa matapeli/wezi wawili ambao nimewaorodhesha majina na namba zao za simu hapa chini, nawatafuta wakiwa wamekufa au hai. Inawezekana wamejisajili kwa majina feki lakina wametumia hizo simu zao...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Waziri Mkuu Bwn MKPP ametoa muda hadi 01.04.2013 kwa wafanyakazi wa Wilaya ya Bahi wanaoishi Dodoma mjini kuwa wawe wamehamia Wilayani kwao Bahi. Amesema kuwa kwa kuhamia Wilayani humo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Baadhi ya watanzania wamechanganyikiwa na uchaguzi wa kenya. Katika hali hiyo wapo watanzania ambao wanasema watanzania HATUNA cha kujifunza kutokana na uchaguzi huo. Na watu wengine wanasema...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Back
Top Bottom