Kunani MORUWASA

Makindi N

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
1,066
173
MORUWASA ndio wenye jukumu la kusambaza maji safi katika Manispaa ya Morogoro kwa kutumia vyanzo mbali mbali vya maji vinavyopatikana. Takribani wiki mbili na zaidi sasa maji tunayosambaziwa wakazi wa Kihonda (ninakoishi - sijui maeneo mengine ya Morogoro - japo wengi kutoka maeneo mengine wanalamama pia)ni machafu - na kimsingi siyo maji ni tope na mbaya zaidi ni tope linalonuka.

Hakuna taarifa yoyote so far, tope na harufu zinazidi. Kama wateja wa MORUWASA we've a right to information kwa lolote linaloendelea. Hili tope halifai kwa kunywa, kuoga, na matumizi yeyote kwa binadamu yeyote alie katika dunia hii.

MORUWASA ni nini kinaendelea? Kwanini muwape hofu wakazi wa Manispaa ya Morogoro? Ukimya huu unamaanisha nini? Kwa sababu hakuna majibu kwa muda wote huo, ni muda muafaka sasa kutoa taarifa iendanayo na hatua stahiki. Someone should erect his/her tentacles and say something. The issue has to be addressed and someone be hold accountable.

Pathetic.
 
si bora nyie manpata hayo machafu, kihonda Kilimanjro hakuna maji yanatoka usiku wa manane kwenye miji miwili tu iliyopata bahati ya kuanginishiwa kutoka katika bomba la VETA.
 
Tatizo yananuka (hayafai for human consumption) na hatujapewa taarifa sababu ni nini? Nyie huenda amlishaambiwa kwanini yanatoka usiku wa manane tu!
 
Back
Top Bottom