Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 471
Tangu kituo cha utangazaji Tanzania TBC1 kiingie nchini kenya, Sijaona taarifa yoyote ya maana, kwani habari zao haziko up-todate na kama zikiwa "live" Basi huyo Marin Hassan anakoroma tu.
Si bora wangebaki hapa kukopy na kupaste kupitia Citizen au K24 Kuliko kuunguza pesa za walipa kodi, Badala kuitumia hela katika kuboresha matangazo yao, wao wanaikaanga katika matumizi yao huku huduma wanayoitoa haifanani nayo.
Muda huu tunapata matangazo "live" hapa, wao wako bize kuonyesha mambo ya kuweka na kukopa, ya tangu mwaka juzi.