kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,067
Katika ofisi zote za halmashauri ya wilaya Kisarawe hakuna sehemu ambayo mtu anaweza kukaa wakati anasubiria huduma, hakuna bench, kiti au mahali popote pa kukaa, kitu kinachowalazimu wenye shida ktk ofisi hizo kusubiri wakiwa wamesimama hata kama ni masaa matatu, ni hali ya ajabu ambayo inatesa sana.
Source: mi mwenyewe nimepata kadhia hiyo ya kusimama masaa kadhaa.
Source: mi mwenyewe nimepata kadhia hiyo ya kusimama masaa kadhaa.