Salim Shaban Jecha-Askari kituo cha Mirambo Tabora-Msaada.

Logo

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
588
Reaction score
49
Wadau,
Tunahitaji msaada huyu askari mwenye jina tajwa hapo juu amekuwa akiwahadaa na kuwaibia vijana waliofeli Form four akiwadanganya kuwaunganisha JKT. Wamekuwa wakituma vyeti vyao na yeye kuwatoza pesa up to 400,000/= huku akitoa mchanganuo mbalimbali juu ya pesa hiyo.

Umefika wakati wa wanafunzi hao kwenda kambini yamewakuta baada ya kutokuitwa, sasa jamaa amebainika ni tapeli.

Kwa askari yeyote aliye Tabora atatusaidiaje? tupate number za huyu jamaa, maana taarifa tumezipeleka kwa wahusika ila wanahitaji tuendelee kutoa ushirikiano zaidi kama kupata number ya huyu jamaa.

Msaada.
 
Hao form four round about wanapata wapi hizo pesa?
Wanao tapeliwa ni wazazi wenye akili timamau, waliojaa fikra za rushwa!
Tanzania tutatapeliwa sana kwa kupenda mteremko!
 
Mkuu,
Kutapeliwa kupo, lakini mimi binafsi sipendi kumlaumu aliyetapeliwa maana angelijua kuwa atatapeliwa asingetoa hizo pesa. Kibaya ji hawa waajiriwa wa serikali ambao angalau wanapata visent fulani fulani vya mshahara serikalini kuamua kuwaibia tena maskini ambao hata mkate wao ni wa kubangaiza. Wanahitaji kushughulikiwa kikamilifu. Nchi imejaa walaghai tupu.
 
Hao nao hawataki kuwasaidia tu, mmeshawapa jina wanataka namba za nini sasa, si waangalie hilo jina lina namba gani?

Kazi kulindana tu
 
Yaani inaudhi sana, kama hawatake serious basi tutaenda mbele zaidi.
 
Mkuu,
Kutapeliwa kupo, lakini mimi binafsi sipendi kumlaumu aliyetapeliwa maana angelijua kuwa atatapeliwa asingetoa hizo pesa. Kibaya ji hawa waajiriwa wa serikali ambao angalau wanapata visent fulani fulani vya mshahara serikalini kuamua kuwaibia tena maskini ambao hata mkate wao ni wa kubangaiza. Wanahitaji kushughulikiwa kikamilifu. Nchi imejaa walaghai tupu.

Mpokea rushwa na mtoa rushwa wote wanakosa. Na kama rushwa ingekuwa haitolewi basi wapokeaji wangepotea automatically. Sema no kwa rushwa !
 
Kwa maelezo ya jamaa yangu hakuna sehemu huyu askari aliomba kama Rushwa. Pesa yote aliyoeleza ni kama expenses, sasa nashindwa kuelewa unakimbilia kumtetea, hata kama mnauhusiano naye nakuhakikishia tu atakwenda kwa njia zote huyu. Katika hao aliowaibia ameibia mmoja mkorofi. Mpe salamu zake
 
Ipo hivi:

Sababu mojawapo ya kufeli mtihani ni kutopenda kushughulisha ubongo na kupenda shortcut hivyo
mzazi na mwanafunzi waliotoa 400,000 wanapenda shortcut na hawapendi kuumiza ubongo
 
Wadau,
Tunahitaji msaada huyu askari mwenye jina tajwa hapo juu amekuwa akiwahadaa na kuwaibia vijana waliofeli Form four akiwadanganya kuwaunganisha JKT. Wamekuwa wakituma vyeti vyao na yeye kuwatoza pesa up to 400,000/= huku akitoa mchanganuo mbalimbali juu ya pesa hiyo.

Umefika wakati wa wanafunzi hao kwenda kambini yamewakuta baada ya kutokuitwa, sasa jamaa amebainika ni tapeli.

Kwa askari yeyote aliye Tabora atatusaidiaje? tupate number za huyu jamaa, maana taarifa tumezipeleka kwa wahusika ila wanahitaji tuendelee kutoa ushirikiano zaidi kama kupata number ya huyu jamaa.

Msaada.

Mbn.huweki.majina.waliotapeliwa.ila.dili.ingekuwa.gud.msinge.post.
 
Ipo hivi:

Sababu mojawapo ya kufeli mtihani ni kutopenda kushughulisha ubongo na kupenda shortcut hivyo
mzazi na mwanafunzi waliotoa 400,000 wanapenda shortcut na hawapendi kuumiza ubongo

Ni kweli mkuu, lakini huyu mwizi ni kawaida yake kila mwaka!
 
Mkuu Logo namba unayotaka ni namba ya simu?
 
Last edited by a moderator:
kufeli taabu kweli, wameibiwa na necta sasa matapeli wanaendelea kuwafanya kitega uchumi. tusizoeeee vya bwerere
 
Back
Top Bottom