zanzibar huru
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 218
- 108
Kila kukicha watawala wanakwenda kuhiji kwa mke wa Nyerere lakini hskii wakienda kumtembelea mkewe marehem Idrissa Abdul wakil au hata About Jumbe hapo kigamboni kulikoni?
MICHUZI: MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE BUTIAMA
Huu ubaguzi tutauacha lini jamani?
MICHUZI: MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE BUTIAMA
Huu ubaguzi tutauacha lini jamani?