Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Juzi nilikuwa nimekaa sebuleni na naperuzi humu JF, huku napiga story mbili tatu na jamaa zangu walionitembelea. Aisee! Kumbe meza iliyokuwa mbele yetu (iliyokuwa imebanwa ukutani) ina chupi...
15 Reactions
117 Replies
1K Views
Waandaaji wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava wamelipa faini yao pamoja na kumlipia msanii Godfrey Tumaini (Dudu Baya) faini ya shilingi milioni 3 iliyotolewa na Baraza la Sanaa la Taifa...
4 Reactions
11 Replies
212 Views
Ili jambo nimetafakari sana kuhusu wanadamu wanapojikuta sehemu sahihi au sio sahihi kwa kuzaliwa,kuhama,kubadilisha mazingira,jambo,kazi na n.k. Kuna mambo unaweza kulazimisha sehemu sio sahihi...
4 Reactions
28 Replies
174 Views
Hapo mwanzo tuliambiwa kwamba saizi hakuna ukabila wala udini wala rangi, lakni wahenga hawakukosea kisema kua uyaone inshort ni kwamba idara ya uhamiaji kumejaa ukabila uliokithiri hasa pale...
0 Reactions
4 Replies
59 Views
Kuna kipindi nilikuwa nasoma UDOM, na kama umewahi kuwa mwanafunzi wa chuo kikuu, utakuwa unaelewa vizuri kabisa maana ya kutafuta sehemu ya kuishi. Unaweza ukafika eneo fulani ukiwa na matumaini...
2 Reactions
7 Replies
122 Views
Nadhani hali hii ina wiki na zaidi, mwanzo yalikuwa yanakuwa masafi haraka ukiyaacha yatoke baada ya muda, lakini sasa hivi unayafungulia muda mrefu bado yanakuwa machafu hivi hivi. Ni huku...
0 Reactions
9 Replies
103 Views
Ukitumia mitambo ya kisasa kuwapima ccm utagundua kua sasa wanaenda kwa kunyweshana vikombe vyenye sifongo hasa wale top list ya nchi na mimi naona huko mbele kuna watu watapotea hasa wa hawamu hii
2 Reactions
13 Replies
177 Views
Dhana ya kuheshimu faragha za watu ni ngumu kuielewa kwa wengi wetu. Mtu anaweza ‘kuposti’ jambo WhatsApp na likawa kwa wote anaowajua yeye ukiwemo wewe lakini si kwa wote unaowajua wewe. Kwamba...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
Kabla ya redio ukieleza habari utaulizwa hayo mambo umeyatoa kwenye vitabu. Ilivyokuja redio ukieleza utaulizwa umeyatolea kwenye redio. Ilivyokuja TV nayo hivyo hivyo. Ilipokuja internet nalo...
1 Reactions
4 Replies
56 Views
Mkurugenzi wa Vodacom Business, Nguvu Kamando (Kulia) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa jumla kwa upande wa wanaume Thomas Mwangi (kushoto) katika mashindano ya CEO Golf Tournament 2026...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Kivulini Rehabilitation & Sober House ni taasisi iliyosajiliwa na kufanya kazi kwa mujibu wa sheria za Nchi. Tumekuwa tukiwasaidia waraibu wa pombe, bangi na madawa mengine ya kulevya kuondokana...
3 Reactions
2 Replies
82 Views
HUWEZI UKAWA MZINZI ALAFU UKAWA MWANAHARAKATI KUPONDA USHOGA. USHOGA IPO NDANI YA UZINZI YAANI NI SUB SECTION. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Angalizo: andiko hili limeandikwa kwa lugha na...
5 Reactions
59 Replies
501 Views
This is the initiative championed by the President of Tanzania, Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan. It focuses on three core continental goals to be reached by 2030: ending home deliveries...
0 Reactions
1 Replies
59 Views
Ili jambo limezungumziwa sana hapa JF. sio vyombo vya dola tu,mpaka makahama,wakurugenzi na kila idara. Wote waliopewa vyeo ni wananchama wa CCM na ndio maana maovu hawana yakalia kimya.
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Afrika ina madini, ardhi kubwa, gesi, mafuta, misitu, vijana wengi na soko linalokua kwa kasi. Lakini swali linalozidi kuulizwa ni hili: Kwa nini wananchi wa baadhi ya mataifa makubwa hunufaika...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
Maombi ya Yabezi yanatoka katika Biblia kwenye Kitabu cha 1 Mambo ya Nyakati 4:9-10. Yabezi alikuwa mtu aliyekuwa na mwanzo mgumu kwa sababu mama yake alimzaa kwa uchungu na kumpa jina "Yabezi"...
1 Reactions
2 Replies
69 Views
Kuna jambo ambalo historia imekuwa ikilirudia mara nyingi: watu wengi huanza kwa kulalamikia uovu, lakini baada ya muda baadhi yao hujikuta wakifanya mambo yale yale waliyokuwa wakiyapinga. Pale...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Habari zenu wakuu, naomba kufahamu juu ya matumizi ya solar za majumbani, hasa ukubwa na udogo. Ninahitaji kufunga ila natamani kujua ni solar yenye ukubwa gani ambayo itanifaa, vitu vyakutumia...
2 Reactions
24 Replies
241 Views
Top 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania 1.UCSAF 2.TPDC 3.TCRA 4.TASAC 5.LATRA 6.PSSF 7.EWURA 8.REA 9.TANAPA 10.TBA
9 Reactions
110 Replies
21K Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema ushirikishwaji wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya Tanzania, hasa azma ya kufikisha thamani ya uchumi wa Taifa hadi...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Back
Top Bottom