Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa...
Lockheed SR-71 Blackbird ni mojawapo ya ndege za ajabu zaidi kuwahi kutengenezwa. Ingawa watu wengi huiita ndege ya kivita, ukweli ni kwamba ilikuwa ndege ya upelelezi (strategic reconnaissance...
Ni jambo la kipumbavu sana (Mods please naomba mniache, sisi watu wazima na watanzania tunafanyiana mambo ya kijinga sana hawajui wanakwamisha madeal kiasi gani kwa wanafunzi wao)
Mfano una shida...
Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini?
Unaathirika vipi?
Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana?
Maskini hajui...
Mm sio mteja ila nataka kujua sababu nimepata idea ya kutengeneza mabango ya kuwaka kwa kutumia tv chakavu.
Mfano hili ni la tv nch 19 na pia nina tv nch40 je hili la nch 40 nikitaka...
Hellow Great Thinker!!!
The LORD is good...
Wakuu hii hari ya kutoka jasho ukiwa comfotable ina maanisha nini?
..... Yani umetulia zako unaona kiubalidi kinatekenya kwenye msuli, una cheki kumbe...
Nimefarijika sana kwa kweli, mmejua kutukumbuka, mi mwenyewe ni mlemavu wa masikio, sisiki vizuri, ilinichukua muda sana kuamini mi ni mlemavu nilikataa hatimae nikakubali no way out, nakumbuka...
Habari wanajamvi,
Bila shaka leo yetu ni nzuri na njema sana na MUNGU awape wepesi wote wenye changamoto na matatizo mbalimbali.
Haya soma hapa sasa na hii ndio sababu ya huu uzi.
Hivi wale...
Heshima yenu wana JF
Binafsi ninapenda sana kunyoa kipara,lakini changamoto kubwa ambayo huwa ninaipata japo si mara kwa mara ni maumivu na kuota kwa vipele upande wa kwenye kisogo.
Je ni nini...
Unaitumia kila siku na unaishi ndani yake siku 7 za wiki, rangi 7 za upinde wa mvua juu ya kichwa chako, na noti 7 za muziki kwenye kila wimbo uliowahi kukutoa machozi.
Lakini swali ambalo watu...
Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB...
HAPA NA PALE… VITA AMBAVYO WATU HAWAVIONI
Kuna kipindi maisha yanakufundisha kwa njia ambayo hakuna shule inaweza kukufundisha.
Unaamka asubuhi ukiwa na mawazo mengi, lakini huna hata uhakika...
Habarini wakuu? Kuna hili suala la cashless economy ambalo limekuwa likipigiwa chapuo mahala pengi duniani, ila kwa jirani zetu Kenya wameweza kulifanya kwa vitendo!
Hawa jamaa ukifika kwao kila...
Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web .
Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye...
1: PM -kirefu chake inasimama kama maneno gani?
2: Papuchi- ni tunda au nini haswa?
3: Chapati- nini maana ya mtu alie chapati
4: Makebo makubwa- maana yake ni mapaja, maziwa au makalio?
5...
Katika kukuwa niliamini kuwa ukiona watu wawili wameoana na kuishi pamoja sio by chance... Yaani kuna some sort of intervention wao kukutana, kuoendana na kuishi pamoja.
Sasa kuna msichana mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.