Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB...
11 Reactions
118 Replies
24K Views
HAPA NA PALE… VITA AMBAVYO WATU HAWAVIONI Kuna kipindi maisha yanakufundisha kwa njia ambayo hakuna shule inaweza kukufundisha. Unaamka asubuhi ukiwa na mawazo mengi, lakini huna hata uhakika...
5 Reactions
9 Replies
126 Views
Habarini wakuu? Kuna hili suala la cashless economy ambalo limekuwa likipigiwa chapuo mahala pengi duniani, ila kwa jirani zetu Kenya wameweza kulifanya kwa vitendo! Hawa jamaa ukifika kwao kila...
7 Reactions
17 Replies
257 Views
Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web . Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye...
1 Reactions
1 Replies
64 Views
1: PM -kirefu chake inasimama kama maneno gani? 2: Papuchi- ni tunda au nini haswa? 3: Chapati- nini maana ya mtu alie chapati 4: Makebo makubwa- maana yake ni mapaja, maziwa au makalio? 5...
4 Reactions
15 Replies
167 Views
Katika kukuwa niliamini kuwa ukiona watu wawili wameoana na kuishi pamoja sio by chance... Yaani kuna some sort of intervention wao kukutana, kuoendana na kuishi pamoja. Sasa kuna msichana mmoja...
4 Reactions
31 Replies
294 Views
Wakuu naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa DSM. Naomba kujua je wanna uhusiano wowote na majeshi yetu?nauliza hivyo Kuna siku kupitia redio nilimsikia mtumishi anaongoza...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Tarehe 13/09/2026, nilikuwa na safari kutoka Mbagala, Dar es Salaam, kuelekea mkoani Lindi. Kabla ya kwenda stendi, nilikagua upatikanaji wa tiketi mtandaoni na nikagundua kuwa karibu mabasi yote...
7 Reactions
34 Replies
449 Views
A) Wayahudu Wakati mtume Muhammad anaanza kupokea ufunuo kutoka Kwa Allah kipindi hicho Saudi Arabia kulikuwa na Wayahudu wengi sana Wale waarabu ambao wanampinga mtume Muhammad ikabidi waende...
0 Reactions
1 Replies
51 Views
Watu wasio na maadili ndio wamesimama mstari wa mbele kuwakumbusha waadilifu umuhimu wa kulinda maadili. Wenye dhambi ndio wamesimama mimbarini kuwahubiria wacha Mungu umuhimu wa watu kuacha...
1 Reactions
0 Replies
17 Views
Ndugu Familia salamu kwnu nyote bila.kujali itikadi zenu za Kisiasa ,Kodini,nafasi zenu kiukwasi na hata kikabila na ukandaa. Jana jioni nimepata nafasi ya.kimsikiza Ndugu Chacha huko Iringa...
3 Reactions
10 Replies
137 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 27, 2026, ametembelea Maktaba ya Taifa ya Qatar (Qatar National Library) jijini Doha, Qatar. Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu amepokelewa...
0 Reactions
1 Replies
61 Views
Sukari huathiri kile kinachoitwa mfumo wa limbic (limbic system). Mfumo wa limbic ni kundi la miundo ya ubongo inayohusishwa na hisia, kumbukumbu na michakato mingine ya kujifunza. Huhusika katika...
8 Reactions
17 Replies
153 Views
Wakuu mnaofahamu mawili matatu karibuni kabla sijaanza makeke yangu.
6 Reactions
17 Replies
322 Views
Hellow Great Thinkers! The LORD is good!!! wakuu, nina visolar viwili hapa 30watts na 15watts ipi... Connection nzuri kati ya series na parallel.... Kwa batter ya 18(AH)... Karibuni sana wakuu....
3 Reactions
42 Replies
389 Views
Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya...
1 Reactions
8 Replies
113 Views
Back
Top Bottom