Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Antonio Guterres, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika...
Nimeona fursa ya kufanya shughuli za biashara katika eneo la Igalula, Sengerema, hasa kutokana na uwepo wa shughuli za Nyanzaga Mining, hivyo nikafungua Pub kwa lengo la kujiajiri na kuendesha...
Hatujui changamoto ni nini, lakini umeme umekuwa ukikatwa mara kwa mara bila sababu za msingi, kana kwamba sisi wananchi hatuchangii gharama za huduma hii.
Karne hii, baada ya kuwepo kwa bwawa la...
Wanajamvi natumaini mu wazima na mnaendelea vyema sana....!!
Taifa la malawi lishawahi kupitia changamoto kubwa kipindi cha COVID na moja ya kiongozi wa taifa hilo alipiga kelele na kupaza sauti...
Mwekezaji nguli Charlie Munger aliwahi kusema: "Nieleze tu mahali nitakapofia, ili nisikanyage hapo kabisa maisha yangu yote."
Kama unataka hakikisho la 100% la kubaki kwenye umaskini bila kujali...
Khabari ndugu zangu wana bodi.
Kichwa cha khabari cha husika.
Nina ulemavu wa miguu nilio upata kwa ajali.Nime fanyiwa upasuaji mara 2 lakini bado yana hitajika matibabu mengi ya garama ila...
Kila nikijifikiria issue ya Dudu baya, naona kabisa ni yuko sahihi
Maana washtakiwa wote wanaishia kuomba radhi na kutaka yaishe
Ila serekali inaingilia kati, hasa hawa basata kama wa kina nani...
Chunya, Mbeya
Wananchi mkoani Mbeya wanaendelea kupata huduma kwenye Kliniki ya Ardhi Kidjiti inayoendelea wilayani Chunya, ambapo jumla ya wananchi 227 wamepata huduma, Hatimiliki 120...
Short and clear Ipo hivi, ukitoa mambo mengine yote ninayoweza kufanya Kwa ajili ya kujipatia kipato na kuchangamsha akili basi ni ufugaji wa ngombe wa maziwa ,samaki, kuku na samaki na kilimo...
Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani, Conrad Kahyoza ameachiwa kwa dhamana baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kushambulia...
Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba)...
Wakazi wa Mtaa wa Kiseke, Wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza, tunaomba msaada wa mamlaka husika kuhusu changamoto kubwa ya ukosefu wa huduma ya maji katika eneo letu.
Kwa sasa, wakazi wengi...
Tangu 2001 mpaka 2008, maisha yalikuwa tofauti sana.
Mwaka 2001 nilikuwa bado mtoto. Sikujua mengi kuhusu maisha. Nilichojua ni kucheza, kula, kwenda shule na kurudi nyumbani.
Lakini nikikaa leo...
Hayo ni miongoni mwa maneno yaliyotamkwa na mkazi wa Kata ya Kibosho Mashariki, John Massawe, wakati akimweleza Diwani wa kata hiyo, Steven Massawe, hali ya taka zilizotupwa katika eneo la...
Kwanza Mimi sinaga marafiki wanaovaa makatambuga
Arusha united state
Huu upuuzi upo kwenye kichwa cha Kila kijana ambae amezaliwa ukanda ambao ilikua yote ni Arusha ya zamani
Sasa vijana huu wehu...
Mbunge Ado Shaibu Ado akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Kijiji cha Ngapa, Kata ya Wilaya ya Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma amesema Wananchi walipogundua madini na kuanza kuchimba kama...
Wilaya ya Chemba Mkoa wa Dodoma wanaohusika na kukusanya kodi wanatuumiza sana wananchi, wanakuja kwenye duka hata kama umefungua jana yake uko na siku moja tu, wanakupiga faini ya Sh 50,000 na...
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote (IDUAI) hufanyika Septemba 28 ya kila mwaka, ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni “Kulinda Uadilifu wa Taarifa katika Enzi ya...
Short and clear Ipo hivi, ukitoa mambo mengine yote ninayoweza kufanya Kwa ajili ya kujipatia kipato na kuchangamsha akili basi ni ufugaji wa ngombe wa maziwa ,samaki, kuku na samaki na kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.