Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huwa napatwa na hasira sana nikiagiza chai halafu naletewa maji ya moto ya viungo sijui ya tangawizi, mdalasini, hiliki, lemon grass, majani ya mapera n.k ndio ninywe kama chai. Chai lazima iwe...
28 Reactions
92 Replies
834 Views
Ni mara kadhaa nimekuwa nikitumia mfumo huu wa ardhi kufanya maombi mara kadhaa bila mafanikio, kuomba upimaji, kuomba hati miliki, n.k. Unaanza vizuri ila uwezi kumaliza mchakato wowote wa...
1 Reactions
4 Replies
91 Views
Utumwa mamboleo (modern slavery) ni tatizo kubwa la kijamii na kiuchumi linalo wakabili vijana wengi waliohitimu vyuo vya elimu ya juu. Wahitimu wa elimu ya juu nchini Tanzania wanakabiliwa na...
4 Reactions
12 Replies
481 Views
Ni seme tu ukweli mimi binafsi kuna baadhi ya members humu jamiiforums toka wameanza kupost miaka mpaka leo huwaga sielewagi post naonaga tu kama wana jaza server na sijui kwanini niko na mtazamo...
8 Reactions
42 Replies
523 Views
Naam hapa tutakutana na watingaji pamoja na wasoteaji, Kwa ujumla wake wale ma TX wakongwe. Madereva Maopereta Ma Foreman...hasa wale wanoko SEcurity oficers na walinzi hasa wale washkaji...
11 Reactions
36 Replies
569 Views
Swali linalotangulia Mazingira yangu ni yapi ni ... Jirani yangu ni nani? Tulipofundisha kwenye dini zetu kuwapenda jirani zetu kama tunavyojipenda wenyewe wengi walidhani jirani ni yule...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Hauna makosa! Hauna mawaa kwa kizungu tunaweza kusema no errors no faults. ...najua utasema kuwa Mungu kasema hakuna mkamilifu! Kumbuka kasema hakuna mkamilifu la hata mmoja akimaanisha...
81 Reactions
227 Replies
33K Views
nacheki bonge moja la muv la kuitwa woter word move inawausu binadamu ambao wamepotelea kati kati ya ulimwengu wa bahari na kiu yao kubwa ni kuipata nchi kavu mwamba mmoja katili sana baada ya...
0 Reactions
3 Replies
35 Views
Huu ni mfululizo wa elimu inayotolewa na mwanaharakati huyo ili kuelimisha umma kuhusu utawala wa sheria na haki za kikatiba nchini Tanzania. Katika masomo yake, Madeleka anafafanua kuwa sheria...
9 Reactions
39 Replies
470 Views
Nitoe tu pongezi zangu nyingi kwa Waliolipanga hili kwani limekubalika kila kona na sasa kila mahala ni YOU BETTER WATCH YOUR BACK LINDA MGONGO WAKO HALI NI MBAYA huku sakata / suala la Tundu...
3 Reactions
21 Replies
284 Views
Uzi tayari. Si ndio ilikuwa?
0 Reactions
1 Replies
34 Views
Try Again Again Again Again Again Again Again Until you make it..💪💪
0 Reactions
1 Replies
22 Views
Yes nimejiona mjinga, nimeenda manyoni hapo kwenye mnada wa mbuzi nilichokiona mbuzi walikua bei juu sana, mbuzi mdogo sana alianza bei ya 70,000/= mpaka 300,000/= nimeshangaa kweli, kwasababu...
9 Reactions
13 Replies
261 Views
Hatuna jeshi, jeshi linatumika kisiasa. Sifa kubwa ya mwanajeshi ni uzalendo na vijana wanapelekwa jeshini kujifunza uzalendo wa nchi na si uzalendo wa mtu fulani au chama fulani. Siku hizi...
1 Reactions
3 Replies
71 Views
Anonymous
Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto ya kushindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu na hasara kwa waombaji na wadau wa sekta ya...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Ni tafsiri isiyo rasmi ya mduara/ mzunguko wa milele Tunaambiwa na kuaminishwa kwamba hakuna kinachodumu milele lakini ni sahihi kabisa... Lakini kuna mwendelezo katika hilo kuna maelezo ya ziada...
27 Reactions
76 Replies
10K Views
Huu ni mwendelezo tu wa kile tumekuwa tukikijadili hapa jamvini kuhusu hayo mambo mawili, reincarnation -kuzaliwa tena katika umbo lingine na rebirth -kuzaliwa upya kiroho Reincarnation na rebirth...
10 Reactions
151 Replies
22K Views
Wakuu situation imenikuta kua nimekuwa kiongozi wa watu ambao ni watu wenye umri kunizidi. Yani katika watu 10 mimi nimechaguliwa kuwaongoza na ndio mdogo wa wote. Mimi niko early 30s ila kwenye...
14 Reactions
94 Replies
880 Views
Ni kama bei ilishafika au walipenyezwa ndio wameshika JF. underdog hii code nimeona kitu hapa JF.
1 Reactions
2 Replies
38 Views
Back
Top Bottom