Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kabla ya redio ukieleza habari utaulizwa hayo mambo umeyatoa kwenye vitabu. Ilivyokuja redio ukieleza utaulizwa umeyatolea kwenye redio. Ilivyokuja TV nayo hivyo hivyo. Ilipokuja internet nalo...
1 Reactions
4 Replies
56 Views
Mkurugenzi wa Vodacom Business, Nguvu Kamando (Kulia) akikabidhi zawadi kwa mshindi wa jumla kwa upande wa wanaume Thomas Mwangi (kushoto) katika mashindano ya CEO Golf Tournament 2026...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Kivulini Rehabilitation & Sober House ni taasisi iliyosajiliwa na kufanya kazi kwa mujibu wa sheria za Nchi. Tumekuwa tukiwasaidia waraibu wa pombe, bangi na madawa mengine ya kulevya kuondokana...
3 Reactions
2 Replies
82 Views
HUWEZI UKAWA MZINZI ALAFU UKAWA MWANAHARAKATI KUPONDA USHOGA. USHOGA IPO NDANI YA UZINZI YAANI NI SUB SECTION. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Angalizo: andiko hili limeandikwa kwa lugha na...
5 Reactions
59 Replies
490 Views
This is the initiative championed by the President of Tanzania, Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan. It focuses on three core continental goals to be reached by 2030: ending home deliveries...
0 Reactions
1 Replies
59 Views
Ili jambo limezungumziwa sana hapa JF. sio vyombo vya dola tu,mpaka makahama,wakurugenzi na kila idara. Wote waliopewa vyeo ni wananchama wa CCM na ndio maana maovu hawana yakalia kimya.
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Afrika ina madini, ardhi kubwa, gesi, mafuta, misitu, vijana wengi na soko linalokua kwa kasi. Lakini swali linalozidi kuulizwa ni hili: Kwa nini wananchi wa baadhi ya mataifa makubwa hunufaika...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
Maombi ya Yabezi yanatoka katika Biblia kwenye Kitabu cha 1 Mambo ya Nyakati 4:9-10. Yabezi alikuwa mtu aliyekuwa na mwanzo mgumu kwa sababu mama yake alimzaa kwa uchungu na kumpa jina "Yabezi"...
1 Reactions
2 Replies
69 Views
Kuna jambo ambalo historia imekuwa ikilirudia mara nyingi: watu wengi huanza kwa kulalamikia uovu, lakini baada ya muda baadhi yao hujikuta wakifanya mambo yale yale waliyokuwa wakiyapinga. Pale...
0 Reactions
0 Replies
24 Views
Habari zenu wakuu, naomba kufahamu juu ya matumizi ya solar za majumbani, hasa ukubwa na udogo. Ninahitaji kufunga ila natamani kujua ni solar yenye ukubwa gani ambayo itanifaa, vitu vyakutumia...
2 Reactions
24 Replies
241 Views
Top 10 ya Taasisi za Umma zenye Mishahara Mikubwa Tanzania 1.UCSAF 2.TPDC 3.TCRA 4.TASAC 5.LATRA 6.PSSF 7.EWURA 8.REA 9.TANAPA 10.TBA
9 Reactions
110 Replies
21K Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema ushirikishwaji wa sekta binafsi ni muhimu katika kufanikisha malengo ya maendeleo ya Tanzania, hasa azma ya kufikisha thamani ya uchumi wa Taifa hadi...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
  • Redirect
Aisee yani unakuta kidume anakata viuno na makebo kama binti wa kizaramo Kudadeeeeeki🤢🤢🤢
0 Reactions
– Replies
– Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania wanaofanya kazi nje ya nchi watunze uaminifu na wafanye kazi kwa bidii ili wasiliharibu jina zuri la Tanzania. Alitoa kauli hiyo jana jioni...
0 Reactions
3 Replies
94 Views
Jukwaa la JamiiForums limekuwa mhimili wa fikra huru, na leo nataka niwashirikishe mtazamo wangu wa kisheria kuhusu mmoja ya migogoro mikubwa ya kibiashara na kimamlaka nchini kwa sasa. Kesi...
5 Reactions
10 Replies
155 Views
Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza...
21 Reactions
27 Replies
467 Views
Ukiangalia simu, computer, magari na mifumo mbalimbali ilivyobadilika ndani ya miaka michache tu, unaweza kujiuliza miaka 20 ijayo itakuwaje. Kwa upande wangu, naona sekta ya afya inaweza...
3 Reactions
24 Replies
290 Views
Jeshi la Wanamaji la IRGC la Iran linasema limekamata chombo kisicho na piloti cha chini ya maji cha Marekani aina ya REMUS 600 kinachofanya kazi katika Njia Bahari ya Hormuz. Kulingana na IRGC...
1 Reactions
3 Replies
67 Views
Back
Top Bottom