Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

NATAFUTA RAFIKI WA KWELI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU Wakuu, leo sitafuti mtu wa kunihukumu wala kunionea huruma. Natafuta rafiki mwenye moyo wa kunisikiliza, kunishauri na ikiwezekana kunishika...
2 Reactions
7 Replies
91 Views
MILLIONAIRE SPECIAL THREAD — KARIBU VIJANA WAPAMBANAJI Kuna watu wanatafuta hela. Kuna watu wanatafuta fursa. Na kuna watu wanaamua kujenga mifumo itakayowazalishia hela. Kuna muda hasa nyakati...
8 Reactions
15 Replies
171 Views
KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa...
27 Reactions
111 Replies
1K Views
Kuna mwamba mmoja nimejikuta nimeikubali mindset yake, Na ningependa sisi vijana ambao ndo tunaelekea kuvuta majiko, tuwe nayo ili tuweze kudumu kwenye ndoa. Tufanye wake zetu watarajiwa...
7 Reactions
85 Replies
771 Views
Hello Greate Thinker!!! The LORD is good..... ... Familia nyingi hua naona wanapata milo mitatu kwa siku, na hii imeshakuwa kawaida hata kama watu, wamemaliza kupika cha asubuhi saa 4. Ila saa 7...
7 Reactions
58 Replies
602 Views
Katiba mpya nitakayounga mkono lazima izingatie mambo makubwa matano. 1. Ushoga uondolewe kuwa kosa la jinai. Serikali isiingilie kabisa mambo ya mapenzi kwa watu wazima waliokubaliana katika...
4 Reactions
253 Replies
2K Views
Unajua leo nilikuwa nawaza sana hapa, how utandawazi umeleta ujinga sana duniani badala ya maendeleo halisi. Ni kwamba siku hizi mtu anaweza akaamka asubuhi akaanza kuongelea watu vibaya, na...
4 Reactions
11 Replies
135 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda usalama wa raia na mali zao kwa kuimarisha doria, misako na operesheni mbalimbali za wahalifu pamoja na...
1 Reactions
1 Replies
60 Views
Hizi ndizo sifa za wadada wanaoishi peke yao, zikiangazia tabia na maisha yao ya kila siku kwa njia ya utani na ukweli wa mitaani. Hawapendi Wageni: Akija mgeni ananuna na kufikiria ni saa ngapi...
9 Reactions
30 Replies
488 Views
HII MAMBO NDIO MAANA SIJAWAHI AMINI ZIKE OFISI KUPELEKEA MATATIZO YA MTAANI KWA WALIOONA ITV MWANANCHI ANALALAMIKA MBELE YA WAH NA KAMANDA KAIMU ANASEMA KITUO X NDICHO KINACHAGIA WAUZA GONGO KHA...
2 Reactions
4 Replies
65 Views
Sijapata Msaada JF, Ila Kimaisha Nimepata Somo Kubwa Kwa muda nimekuwa nikieleza changamoto zangu hapa JF, nikitarajia labda kuna mtu atanisaidia kwa namna yoyote. Ukweli ni kwamba, msaada wa...
7 Reactions
19 Replies
186 Views
Mwanamke mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Upendo Shabani, mwenye umri wa miaka 38, mkazi wa kitongoji cha Engorika, kata ya Kiutu, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, anadaiwa kuchomwa maji ya moto...
2 Reactions
7 Replies
136 Views
Maisha yamewatia adabu wazazi waliodhani watoto wao ni bora kuzidi wengine, Ewe mzazi punguza majivuno. Lea mtoto kwa upendo, maadili na nidhamu, huku ukikumbuka kila mtoto ana njia yake na...
6 Reactions
10 Replies
286 Views
★Wanawake watakiwa kuachana na dhana potofu kuwa ardhi ni mali ya wanaume Serikali imewasisitiza wanandoa kumiliki ardhi kwa pamoja ili kuepuka na kupunguza migogoro ya umiliki wa ardhi na...
3 Reactions
4 Replies
102 Views
Jana shemeji yenu alinipa mkasa wa pale nyumban kwao. Kuna mdogo wake wa kiume almost miaka 13/14 (balehe) Kwanza dogo kaacha shule akiwa darasa la sita,hii yote ni baada ya kaka yake kuacha...
4 Reactions
15 Replies
352 Views
Changamoto tunayopitia sasa hivi wakati huu wa kuhuisha leseni zetu kupitia Baraza la Famasia Tanzania (Pharmacy Council). Mfumo wa CPD Portal Unasumbua: Mfumo ni mzito na unaleta hitilafu...
3 Reactions
3 Replies
80 Views
Pedophiles wataharibu watoto wenu, tatizo mnadhania ni wahuni wahuni wa mtaani, hapana, ni watu wa karibu yako kabisa. Watoto wengi wamebaki na childhood trauma hadi wamekuwa ukubwani Hivi...
18 Reactions
73 Replies
878 Views
Ujue, wakati huu huenda yupo mtu mmoja ambaye anasumbuliwa na jambo fulani maishani. Pengine ana maisha mazuri kwa sasa, lakini bado ana mashaka moyoni na akilini kwamba labda vision yake siyo...
10 Reactions
19 Replies
182 Views
Ukianzia miaka 2010 kurudi nyuma mashuleni kuanzia msingi hadi secondary kulikua na wale wanafunzi mashujaa wenye nguvu,ujasiri,kulikua na wale wapenda michezo ya sarakasi yaani kulikua na...
2 Reactions
7 Replies
79 Views
Hio ndio saikolojia ya mwanadamu Sasa inaweza kuwa yeye ndio mtumiaji wa mashoga, anafir wanawake, yeye ndio shoga mwenyewe au anapenda kuangalia pornographia za mashoga.
5 Reactions
13 Replies
138 Views
Back
Top Bottom