Wakuu kwema Nimeona CRDB wamekuja na Kitu kinaitwa Kopa ngombe Ulipe maziwa ambacho kiko run na CRDB foundation, Millard ayo ameenda Kufanya Covering ya Hio promotion
Ajabu ni kuwa issue Hii...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewakabidhi wananchi hatimiliki leo tarehe 25 Septemba, 2026 jijini Dodoma wakati wa Kliniki ya Ardhi inayoendelea mkoani...
Nimeshangaa mbunge wa gairo kukopesha pikipiki 300 kwa vijana jimboni kwake, kwahiyo pikipiki ndio imekuwa ajira rasmi? Mbona kama kwa upeo wangu ni kama tunaenda kuliangamiza taifa?
Mwaka jana...
Leo tuzungunzie Gonjwa la UKIMWI. Kuwa mvumilivu kusoma, pengine ukapata Dawa ya UKIMWI katika Makala yangu!
Imenibidi nikimbie Hadi Google, nikafanye Utafiti wangu Juu ya Asili ya Ugonjwa Huu...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, ameitaka Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa meza moja na wazalishaji wa saruji nchini ili kuweka mikakati ya haraka itakayohakikisha bidhaa hiyo...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Waziri wa Ardhi...
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amezindua basi jipya aina ya Coaster lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 334. Gari hilo limekabidhiwa rasmi kwa Ofisi ya Mkuu wa...
Pia kama inawezekana aombwe ajiunge humu. Hiyo mibwabwa ipo humu mingi sana inabadili IDs daily. Inakufuata PM kuomba ukaichakate. Ukikataa inatangaza vita.
Mimi namuunga mkono na nitamchangia...
NATAFUTA RAFIKI WA KWELI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU
Wakuu, leo sitafuti mtu wa kunihukumu wala kunionea huruma. Natafuta rafiki mwenye moyo wa kunisikiliza, kunishauri na ikiwezekana kunishika...
MILLIONAIRE SPECIAL THREAD — KARIBU VIJANA WAPAMBANAJI
Kuna watu wanatafuta hela.
Kuna watu wanatafuta fursa.
Na kuna watu wanaamua kujenga mifumo itakayowazalishia hela.
Kuna muda hasa nyakati...
KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa...
Kuna mwamba mmoja nimejikuta nimeikubali mindset yake,
Na ningependa sisi vijana ambao ndo tunaelekea kuvuta majiko, tuwe nayo ili tuweze kudumu kwenye ndoa.
Tufanye wake zetu watarajiwa...
Hello Greate Thinker!!!
The LORD is good.....
... Familia nyingi hua naona wanapata milo mitatu kwa siku, na hii imeshakuwa kawaida hata kama watu, wamemaliza kupika cha asubuhi saa 4.
Ila saa 7...
Katiba mpya nitakayounga mkono lazima izingatie mambo makubwa matano.
1. Ushoga uondolewe kuwa kosa la jinai. Serikali isiingilie kabisa mambo ya mapenzi kwa watu wazima waliokubaliana katika...
Unajua leo nilikuwa nawaza sana hapa, how utandawazi umeleta ujinga sana duniani badala ya maendeleo halisi.
Ni kwamba siku hizi mtu anaweza akaamka asubuhi akaanza kuongelea watu vibaya, na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda usalama wa raia na mali zao kwa kuimarisha doria, misako na operesheni mbalimbali za wahalifu pamoja na...
Hizi ndizo sifa za wadada wanaoishi peke yao, zikiangazia tabia na maisha yao ya kila siku kwa njia ya utani na ukweli wa mitaani.
Hawapendi Wageni: Akija mgeni ananuna na kufikiria ni saa ngapi...
HII MAMBO NDIO MAANA SIJAWAHI AMINI ZIKE OFISI KUPELEKEA MATATIZO YA MTAANI
KWA WALIOONA ITV MWANANCHI ANALALAMIKA MBELE YA WAH NA KAMANDA KAIMU
ANASEMA KITUO X NDICHO KINACHAGIA WAUZA GONGO KHA...