Sisemi Dudu baya alisha liwa au la, ninachosema hapa ni kwamba akilini mwake ana trauma ambayo anaisuppress kwa nje kwa kufanya attacks zisizo na maana dhidi ya watu anaowafikiria namna...
Hii ni picha yangu bora zaidi kwa miaka yote, si kwa sababu ya uzuri wake bali kwa sababu ya somo kubwa lililofichwa ndani yake.
Sisi binaadamu mara nyingi tunaamini kwamba mtu mwenye hali ya...
Nitoe agizo kwa wenye mamlaka, huyu dudu baya wa wochi bela baki anastahili adhabu kubwa na kali sana kuliko adhabu yoyote iliyowahi kutolewa kwa msanii yoyote Tangu kuumbwa kwa Tanzania...
kero ni kitu kinachokera sijatoa tafsiri lakini kila mtu ana kero kwa wengine na yeye pia anaweza kerwa.
kama unakera jua unakerwa pia.
je, ni kero gani inakukera sana inaweza kuwa moja au...
Unapotaka kupigana vita yoyote, lazima uwe na mamlaka ya kimaadili ya hali ya juu sana, vinginevyo utabomolewa kila upande.
Kwa taarifa zilizopo, inaelezwa kwamba, Dudu Baya na Mr. Nice walizua...
Niaje wakuu,
haya ni baadhi ya madhara utakayopata ukienda kutafuta utajiri kwa mganga.
Utapeli wa kifedha; Waganga wengi feki hutumia saikolojia ya hofu na tamaa kuwaibia watu kiasi kikubwa cha...
Nimesoma mijadala mingi ya atheists na wanaoamini katika abrahamic religions na kitu kikubwa nilichogundua na kuona kwenye hiyo mijadala mara zote wanaoamini Mungu yote wanazidiwa hoja
Sio...
Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na...
Nina freezer. Naitumia kwa kuweka vinywaji ili viwe baridi ila kila baada ya mda nakuta maji mle ndani takriban 3L-4L na hakuna kinywaji chochote kilichovuja.
Sasa nikawaza hv nikiiacha mwezi 1...
Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa...
Nakupa huu ushauri wewe Kaka yangu wochi bela baki. Si kwamba nakupenda sana au nakujali, la hasha. Natoa tu indhari kwako.
Mimi ni mmoja wa watu wanaotamani kuona unaadabishwa vikali na...
Lala fofo ewe mtanganyika mwenzangu.
Kama alisababisha mvua kunyesha kule mwanza mbele ya shuhuda Rais Samia ,Mapadre wako wa Roma na masister wako wa Roma.
Je atashindwa kuzuia isije ni yeye...
Wakuuu na wadau wa magarii kati ya outlander roadest 2010 na subaru forester ya 2009/10 ipi unashauri ninunue kwa matumizi ya safari ndefu na yenye uhakika wa kusafiri rough roads bila kuleta...
Wakuu nimepata maono wa mambo yanayokuja siku za mbeleni kuhusu AI, Hivyo hapa nafanya kama kuwatonya tu ndugu zangu msije angamia siku ikifika.
Kuanzia mwaka 2040 zitaanza movement za AI kuwa...
Ndugu wadau, habari zenu.
Kinacho mbana lisu ni matokeo ya kauli zake, hakuonesha au kusema wafuasi wake watatumia njia gani kuzuia uchaguzi usifanyike na hilo lipo wazi.
Matokeo yake Sasa...
Naweza kuandika maneno elfu 10 lakini. ukweli ni kwamba machinga wanaonewa sana.
Nature ya biashara zetu hapa bongo asilmia 80 ni uchuuzi. hawa watu wanateseka na hawana mtetezi.
Wasubiri...
Ni vuta ni kuvute kati ya wananchi wa Kata ya Buhanda, Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma, na Shirika la Reli Tanzania (TRC), baada ya baadhi ya wananchi kukataa kusaini tathmini ya fidia kwa...
Wanajukwaa.
Wiki moja na nusu nimepitia wskati mgumu sana maishani. Afya yangu ilipata pigo gumu sana, nilishapoteza matumaini ya kuishi kwa hali iliyonikumba.
Nilianza kupata dalili ya mafua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.