Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

⚠️ ANGALIZO LA MWANDISHI (DISCLAIMER) Makala hii ni kazi ya sanaa ya kubuni (Fiction Story/Creative Writing). Mtunzi amebuni majina ya wahusika, matukio, na maeneo (ikiwemo nchi ya kufikirika ya...
3 Reactions
0 Replies
82 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatatu, Septemba 28, 2026, amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Qatar ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Sheikh Mohammed bin Abdulrahman bin...
0 Reactions
0 Replies
35 Views
Marafiki - Nipo kwenye stage ambayo nimeshakuwa mtu mzima kujua kwamba marafiki wanakuja na kuondoka, na Urafiki unajengwa mkiwa katika hali sawa mkishapishana hata mlazimishe urafiki hauwezi...
0 Reactions
4 Replies
85 Views
KIGOGO HUWEZA KUWA MTU YEYOTE WA MAANA Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Leo katika pitapita zangu mtandaoni niliona Tangazo linalotoa fursa kwa yeyote atakayewezesha kupatikana kwa mtu ajiitaye...
66 Reactions
445 Replies
77K Views
Kaka, kuna kitu umeniandikia leo kimenigusa sana, hiyo ishu ya kuwa karibu na marafiki kwamba rafiki yako ndiyo kila kitu, mimi imenikuta na naumia mpaka sasa sijui kwanini siku zote sikushtuka...
13 Reactions
111 Replies
9K Views
Chakula ni ibada kamili, kisichezewe, kisitupwe, kisiharibiwe. Chakula ni mojawapo ya mambo ambayo huileta familia pamoja na kujumuika wote, ni sehemu ambapo hufanyika sala na dua ya shukrani...
38 Reactions
119 Replies
22K Views
Tanzania yavutia Wawekezaji kutoka Marekani Miradi ya LNG,Mahenge Graphite na Kabange Nickel Miradi ya kimkakati ya LNG, Mahenge Graphite na Kabanga Nickel inaendelea kuvutia wawekezaji kutoka...
0 Reactions
3 Replies
81 Views
Usiweke tu pesa zako kwenye savings, hakikisha unawekeza, Nunua kiwanja, nunua Bonds, assets, n.k. Enzi hizo miaka 30 iliyopita ukiwa na elf 50 ni zaidi hata ya milioni ya sasa, leo hii kama kuna...
5 Reactions
9 Replies
130 Views
Wakuu, kwema? Kwenye hii mitaa ya utafutaji, kuna mambo mawili huwa hayakosekani Mchongo uliomnyanyua mtu kimaisha na Mchongo uliomfanya mtu afe na tai shingoni. Unakuta mtu alianza na Milioni...
10 Reactions
29 Replies
408 Views
Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa. Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo...
0 Reactions
10 Replies
89 Views
Anonymous
Barabara ya Kibada-Mwasonga imekuwa na ajali nyingi na ndugu zetu wengi wamepoteza maisha, iwekwe matuta. Hii ni wiki ya pili ilitokea ajali asubuhi Mwasonga karibu na Kituo cha Mafuta cha Asam...
3 Reactions
6 Replies
162 Views
Anonymous
Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kwenda kwa: Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO Husika na kichwa cha habari Sisi ni...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Good Afternoon my fellow countrymen and patriots. Ndugu zangu mliopo huko serikalini (hususan wale wa rika langu), Linapokuja suala la usalama wa wengi (Usalama wa...
6 Reactions
29 Replies
222 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Huyu baharia wa "SAUZI" akitumika vizuri na Polisi/Uhamiaji, anaweza kuwa Balozi wa maana sana katika kupambana na janga la vijana wadogo kuvuka mipaka bila...
0 Reactions
15 Replies
237 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana Kulikuwa na umuhimu gani wa kuwa na Vituo vikuu viwili (mabasi na teni) vyote vyene jina mtu mmoja ndani ya Jiji moja kubwa la Dar?? Vyote vinaitwa vituo vya Magufuli...
4 Reactions
45 Replies
501 Views
Anonymous
Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu hali ya utoaji wa huduma za afya katika Zahanati ya Mkolowony iliyopo Moshi DC. Zahanati hiyo imeruhusu mtu ambaye si mtaalamu wa afya kutoa huduma kwa...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) imekutanisha wadau wa Sekta ya Tumbaku nchini kwa lengo la kutafakari na kuweka mikakati ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 pamoja na Mpango Kabambe...
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Sekta ya madini Tanzania imeendelea kuimarika, huku mauzo ya madini yakifikia TSh trilioni 7.78 katika miezi sita ya kwanza ya mwaka, hatua inayoonesha kuongezeka kwa shughuli za uchimbaji...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
guest-1787486720
Jamani nimeweka kidole tarehe 10/8/2026 paka leo tarehe 18 sijafanikiwa kupata hela zangu jamani Kwani inachukuwa siku ngapi nssf? jamani familia zetu zitakufa njaa mke na mtoto watakula nini...
4 Reactions
33 Replies
360 Views
Back
Top Bottom