Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

BIMA YA MAISHA NI NINI Bima ya maisha ni mkataba kati ya mteja ( mteja binafsi au kampuni ) na kampuni ya bima ya maisha , ambapo mteja Kwa kulipa ada kidogo kidogo au Kwa mkupuo , anafidiwa (...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
  • Redirect
Hi! Whats'up? Wochi bela baki? Sasa basi, kufuatia hii hamasa ya kulinda migongo iliyoanzishwa na yule jamaa, ninaomba kujuzwa mambo kadhaa:- Naomba wale manguli wa ushoga wanijibu maswali haya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Tumekuwa tukiona juhudi za kuboresha maeneo ya biashara kwa wafanyabiashara wadogo kwa kuwekwa vibanda vya maturubai na wakati mwingine kuezekwa kwa bati kwa gharama zinazotolewa na...
1 Reactions
0 Replies
18 Views
Nino Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefanya marekebisho ratiba ya mitihani ya kitaifa na upimaji iliyotakiwa kufanyika Oktoba na Novemba mwaka huu. Akizungumza leo Ijumaa Septemba 25, 2026...
0 Reactions
11 Replies
340 Views
UMASKINI NI MAAAMUZI... mungu aliumba utajiri na umaskini ila akumuumba mtu maskini wala tajiri .......kwaiy vyote ni maamuz yako na yote yanawezekana tufanye kazi vijana. Lazima tuwe matajiri
0 Reactions
2 Replies
46 Views
  • Redirect
Nimepata mstuko mkubwa Sana leo baada ya kuangalia wasapu sitatasi ya mke wangu nileyapata nae watoto 2 na kukuta amechapisha picha ya Baba mtoto wake na jumbe za malovee, Huku wakininanga na...
4 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Sisemi Dudu baya alisha liwa au la, ninachosema hapa ni kwamba akilini mwake ana trauma ambayo anaisuppress kwa nje kwa kufanya attacks zisizo na maana dhidi ya watu anaowafikiria namna...
2 Reactions
– Replies
– Views
Hii ni picha yangu bora zaidi kwa miaka yote, si kwa sababu ya uzuri wake bali kwa sababu ya somo kubwa lililofichwa ndani yake. Sisi binaadamu mara nyingi tunaamini kwamba mtu mwenye hali ya...
0 Reactions
6 Replies
135 Views
Nitoe agizo kwa wenye mamlaka, huyu dudu baya wa wochi bela baki anastahili adhabu kubwa na kali sana kuliko adhabu yoyote iliyowahi kutolewa kwa msanii yoyote Tangu kuumbwa kwa Tanzania...
2 Reactions
99 Replies
834 Views
kero ni kitu kinachokera sijatoa tafsiri lakini kila mtu ana kero kwa wengine na yeye pia anaweza kerwa. kama unakera jua unakerwa pia. je, ni kero gani inakukera sana inaweza kuwa moja au...
1 Reactions
3 Replies
42 Views
  • Redirect
Unapotaka kupigana vita yoyote, lazima uwe na mamlaka ya kimaadili ya hali ya juu sana, vinginevyo utabomolewa kila upande. Kwa taarifa zilizopo, inaelezwa kwamba, Dudu Baya na Mr. Nice walizua...
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Tambueni kuwa starehe yenu hio hio kwetu ni laana
1 Reactions
– Replies
– Views
Niaje wakuu, haya ni baadhi ya madhara utakayopata ukienda kutafuta utajiri kwa mganga. Utapeli wa kifedha; Waganga wengi feki hutumia saikolojia ya hofu na tamaa kuwaibia watu kiasi kikubwa cha...
3 Reactions
10 Replies
182 Views
  • Redirect
Nimesoma mijadala mingi ya atheists na wanaoamini katika abrahamic religions na kitu kikubwa nilichogundua na kuona kwenye hiyo mijadala mara zote wanaoamini Mungu yote wanazidiwa hoja Sio...
2 Reactions
– Replies
– Views
Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na...
7 Reactions
74 Replies
2K Views
Nina freezer. Naitumia kwa kuweka vinywaji ili viwe baridi ila kila baada ya mda nakuta maji mle ndani takriban 3L-4L na hakuna kinywaji chochote kilichovuja. Sasa nikawaza hv nikiiacha mwezi 1...
0 Reactions
12 Replies
90 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
  • Redirect
Nakupa huu ushauri wewe Kaka yangu wochi bela baki. Si kwamba nakupenda sana au nakujali, la hasha. Natoa tu indhari kwako. Mimi ni mmoja wa watu wanaotamani kuona unaadabishwa vikali na...
1 Reactions
– Replies
– Views
Lala fofo ewe mtanganyika mwenzangu. Kama alisababisha mvua kunyesha kule mwanza mbele ya shuhuda Rais Samia ,Mapadre wako wa Roma na masister wako wa Roma. Je atashindwa kuzuia isije ni yeye...
1 Reactions
1 Replies
74 Views
Wakuuu na wadau wa magarii kati ya outlander roadest 2010 na subaru forester ya 2009/10 ipi unashauri ninunue kwa matumizi ya safari ndefu na yenye uhakika wa kusafiri rough roads bila kuleta...
1 Reactions
8 Replies
124 Views
Back
Top Bottom