Tuseme ukweli tu kuhusu Dar

Tuseme ukweli tu kuhusu Dar

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,813
Reaction score
179,084
Daslamu jiji letu na nikiwakilishi cha taifa , ila kuna nyumbu zipo dar hazina kazi yoyote ila zipo tu,🤔.

Hizi nyumbu ndizo zinatuchafulia jiji la Dar , hata kimataifa tuna kosa namba za maana 🤔

Yaani yenyewe yapo yapo tu na kijijini hayataki kurudi kisa yanaongea kingereza cha the na this🤔 gadeimm.
 
IMG-20261017-WA0278.jpg
 
Yalikuja na mwenge,hayana nauli ya kurudia kijijini
 
Dar bado mji wa kawaida sana.
Hao mnaowazarau ndo wanafany usaf wa jij na kubeb mizgo yenu. Sema mkianza kupokea mshahara 1m na kumimik vi toyota na visuzuk mnaanza dharau nch hii hali ni mbaya kwa vijana
 
Hawana kazi sababu ya ajira chache nchini afu wamekuja kujaribu maisha kama yatakubali mjini maisha sio rahisi aiseeee

Kama wale wa upinde🌈furumusha kutoka huko kwa viboko😹😹😹🤣
 
Back
Top Bottom