Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

huu ndio mtandao mbaya zaidi na hatari zaidi. Kama wewe ni mtu wa pornography, basi X ni hatari sana kwako. Addiction yake haielezeki. Kuna content ambazo huwezi hata kuamini macho yako...
1 Reactions
18 Replies
242 Views
Msaada kwa anayejua namna ya kufuta ngazi ya elimu kwenye mfumo wa ajira portal. Nataka kufuta ngazi ya elimu ya Master na kuacha bachelor degree tuu, naomba kwa mwenye kujua nini cha fufanya au...
4 Reactions
15 Replies
365 Views
Shetani hayupo wala hakuna kitu kama hicho watu walitafuta sehemu ya kujifichiaa. Ooh ni shetani tuu hakuna kitu
11 Reactions
52 Replies
441 Views
Huyo mzee haimbwi wala kulaumiwa kwa mabaya yake,hasifiwi wala hapondwi si kwa kizazi cha sasa wala cha zamani ila NYERERE,MKAPA,KIKWETE,MAGUFULI NA MAMA wote huimbwa kwa pande zote za sifa nzuri...
0 Reactions
1 Replies
48 Views
Sijui Palestinians walimkosea nini Mungu hadi aruhusu wakutwe na wapatwe na yanayopitia. Sauli aliambiwa awauwe Wapalestina wote na mali zao zote na vitu vyao vizuri vyote, Sauli akabakiza...
9 Reactions
86 Replies
626 Views
Moja kwa moja...... Mji wa Gaza ulikuwa mzuri sana , makosa na ujinga wa Hamas kuingia mkenge kufanya shambulio la kikatili kukazaa Unyama mkubwa zaidi katika zama hizi chini ya IDF 1. 2...
4 Reactions
25 Replies
285 Views
  • Featured
Je, kuwa na Shahada ya Sheria na kufanya kazi kwenye mazingira ya sheria ni sawa na kuwa na mafunzo maalumu yanayomwandaa mtu kuwa Wakili? Hili ni moja ya maswali makubwa ambayo mimi na wenzangu...
15 Reactions
153 Replies
3K Views
Ikiwezekana iwe hapa hii thread napitia changamoto kadhaa na sio mara moja. mfano leo inakataa tatizo ni nini
7 Reactions
43 Replies
777 Views
Mwaka 1833 nchini Sweden alizaliwa mtoto aliyeitwa Alfred Nobel. Huyu jamaa baadaye alikuja kuwa mwanakemia, mhandisi, mvumbuzi na mfanyabiashara mkubwa. Chanzo kikubwa cha utajiri wake kilikuwa...
9 Reactions
10 Replies
307 Views
Nikweli wazazi mmeridhia watoto wenu wa kiume waendelee kufundishwa tabia za kike na hawa vijana?
1 Reactions
5 Replies
124 Views
Mitandao bhana, shida tupu!
5 Reactions
2 Replies
136 Views
Sisi wa kizazi chetu before gen Z tulienjoy maisha kwa vitu ambavyo watoto wa leo wanaweza wasivielewe. Tulikula zambarau na maapera ya mtini, tukachezea magari ya plastiki, na sikukuu...
6 Reactions
5 Replies
98 Views
Wewe kakaa hivyo hivyo, Isho tu kisela sela Ukijisikia we tafuta lidemu lina makebo makubwa chapa tacco mbili au tatu ondoka, tofauti na hapo utaua mabinti wa watu.
3 Reactions
2 Replies
65 Views
Mtoto anaitwa Brian mwenye miaka mitano, alitoka kwenda kucheza na wenzake hadi jana jioni hajaonekana hadi leo. Ni mkazi wa mtaa wa Msingwa, Mbezi kwa Musuguli, jitahada za kumpata hazijazaa...
6 Reactions
24 Replies
440 Views
Ukipita Mitandaoni utakuta Kwamba Kuna Mijadala Mingi inayohusu Mungu kwamba kama Anatupenda Kwanini Tunateseka ,, oooh kwanini Kuna Mafuriko...oooh kwanini Watoto wanakufa na Njaa.. Oooh kwanini...
8 Reactions
152 Replies
855 Views
Kwenye maisha ya watu wengi kuna wakati unafika unasema, I've reached the end of the road! Yaani unaona kabisa umefika ukomo na njia zote zimeonekana kufungwa Mara nyingi katika nyakati kama...
21 Reactions
171 Replies
2K Views
Anonymous
Ndugu wana JF, wakazi wa Mbeya, Mbalizi na maeneo yake hadi Ifisi, tunapitia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji majumbani. Ni takribani wiki tatu sasa maji hayajatoka, lakini cha kushangaza...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
Paka hutumiwa sana kwenye ulimwengu wa roho kwa sababu ya mchanganyiko wa kipekee wa uwezo wao wa kiasili na imani za kale zinazowaona kama viumbe wanaoishi kati ya ulimwengu wa nyama na roho...
7 Reactions
22 Replies
334 Views
wanakuona kwa uwazi kabisa. Lakini upande wa pili hauoni kwa macho ya nyama kama yetu: huona kupitia aura yako, mfumo wa fikra zako, na utofauti wa mwanga. Kwa mtu ambaye tayari ameuacha mwili...
10 Reactions
50 Replies
633 Views
Back
Top Bottom