Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,745
- 7,843
Kwa mienendo ya watu hawa walioondoka kwenye group letu pendwa na wanaume. Itabidi tuanzishe “Global Male Population Emergency Summit" kwa ajili ya kulinda miiko ya kuwa Mwanaume kamili.
Tutazungumza agenda mbalimbali zinazohusu ushupavu, kuwajibika na namna ya kuwa kamili gado kama dume.
Tusipofanya hivi itabidi UNESCO watangaze kuwa Wanaume wapo karibu kutoweka duniani.