WAHENGA;ISHINI NAO KWA AKILI!

WAHENGA;ISHINI NAO KWA AKILI!

Miguel Felix Gallardo

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
2,642
Reaction score
4,838
MWANAMKE ANAYEKUPENDA BILA STRINGS ATTACHED NI MAMA YAKO TENA NA YEYE ANAKUPENDA KWASABABU NI DAMU YAKE!!!

MAKE NO MISTAKE ABOUT IT,USIJIDANGANYE UTAPENDWA HAPA DUNIANI,WATU WOTE WANAKUONA FURSA KATIKA ANGLE FLANI.HAKIKISHA WANAVYOKUTUMIA NA WEWE UNAWATUMIA.

KUNA WAPUMBAVU NA WASIO NA UZOEFU NA MAHUSIANO WATAKUSHAURI.TAFUTA MWANAMKE ANAYEKUPENDA.

MY FRIEND HAYUPO HUYO WA KUKUPENDA JINSI ULIVYO,YOU MUST PROVIDE VALUE B4 THEM FIRST!!!....JICHANGANYE UTAEKTIWA MOVIE WAKOREA NA WAFILIPINO WAKASOME.

UNALIWA RADA SINCE DAY 1, ANAKUPA MIAKA 10 BAADA YA HAPO SHETANI ANAJIVUA GAMBA😄😄😄

📌IN EVERY SITUATION MAKE SURE UNACLOSE DEAL IN A WIN-WIN END!!!!

#KATAA NDOA,LINDA UHURU WAKO!!!
#ITS SUNDAY AND AM PREACHING THE REAL GOSPEL!!!

📌📌📌IF YOU ARE A GOLD DIGGER🚨🚨,YOU BERA WACH YOUR SOUL,MAVUMBINI NI KUGUSA TU!!!
 
MWANAMKE ANAYEKUPENDA BILA STRINGS ATTACHED NI MAMA YAKO TENA NA YEYE ANAKUPENDA KWASABABU NI DAMU YAKE!!!

MAKE NO MISTAKE ABOUT IT,USIJIDANGANYE UTAPENDWA HAPA DUNIANI,WATU WOTE WANAKUONA FURSA KATIKA ANGLE FLANI.HAKIKISHA WANAVYOKUTUMIA NA WEWE UNAWATUMIA.

KUNA WAPUMBAVU NA WASIO NA UZOEFU NA MAHUSIANO WATAKUSHAURI.TAFUTA MWANAMKE ANAYEKUPENDA.

MY FRIEND HAYUPO HUYO WA KUKUPENDA JINSI ULIVYO,YOU MUST PROVIDE VALUE B4 THEM FIRST!!!....JICHANGANYE UTAEKTIWA MOVIE WAKOREA NA WAFILIPINO WAKASOME.

UNALIWA RADA SINCE DAY 1, ANAKUPA MIAKA 10 BAADA YA HAPO SHETANI ANAJIVUA GAMBA😄😄😄

📌IN EVERY SITUATION MAKE SURE UNACLOSE DEAL IN A WIN-WIN END!!!!

#KATAA NDOA,LINDA UHURU WAKO!!!
#ITS SUNDAY AND AM PREACHING THE REAL GOSPEL!!!
ok.🐒
 
Wanawake kama dhahabu yani hadi raha.....
Kwa siku zinapita threads kama 20 za wanaume wakihubiri mahubiri ya wanawake.

Kmm oyeeeee
Bado mtatoka huko kwenye mashimo yenu.

Hizi gospel tunazotangaza lengo ni kufuta fikra za hovyo ambazo vijana wamelishwa kwa kipindi kirefu.

Fikra za kuwafanya wanawake kuwa kama wana kitu exceptional😄😄😄while kiuhalisia wanawake hawna kitu chochote special zaidi ya kuwa viumbe dhaifu ambavyo vinatakiwa kuonewa huruma.

📌📌📌Ukitoa uchi hakuna kitu mwanaume anapata kutoka kwa mwanamke!!!Huu ni ukweli mchungu kila mwanamke hataki kuusikia.
 
Umeandika Kwa hasira Sana mkuu,pole
 
Attachments

  • file_000000004c408211b91bbf27c716299e.png
    file_000000004c408211b91bbf27c716299e.png
    2.1 MB · Views: 4
MWANAMKE ANAYEKUPENDA BILA STRINGS ATTACHED NI MAMA YAKO TENA NA YEYE ANAKUPENDA KWASABABU NI DAMU YAKE!!!

MAKE NO MISTAKE ABOUT IT,USIJIDANGANYE UTAPENDWA HAPA DUNIANI,WATU WOTE WANAKUONA FURSA KATIKA ANGLE FLANI.HAKIKISHA WANAVYOKUTUMIA NA WEWE UNAWATUMIA.

KUNA WAPUMBAVU NA WASIO NA UZOEFU NA MAHUSIANO WATAKUSHAURI.TAFUTA MWANAMKE ANAYEKUPENDA.

MY FRIEND HAYUPO HUYO WA KUKUPENDA JINSI ULIVYO,YOU MUST PROVIDE VALUE B4 THEM FIRST!!!....JICHANGANYE UTAEKTIWA MOVIE WAKOREA NA WAFILIPINO WAKASOME.

UNALIWA RADA SINCE DAY 1, ANAKUPA MIAKA 10 BAADA YA HAPO SHETANI ANAJIVUA GAMBA😄😄😄

📌IN EVERY SITUATION MAKE SURE UNACLOSE DEAL IN A WIN-WIN END!!!!

#KATAA NDOA,LINDA UHURU WAKO!!!
#ITS SUNDAY AND AM PREACHING THE REAL GOSPEL!!!
What happened brotha au kuna mtu ametafuna nauli!
 
Bado mtatoka huko kwenye mashimo yenu.

Hizi gospel tunazotangaza lengo ni kufuta fikra za hovyo ambazo vijana wamelishwa kwa kipindi kirefu.

Fikra za kuwafanya wanawake kuwa kama wana kitu exceptional😄😄😄while kiuhalisia wanawake hawna kitu chochote special zaidi ya kuwa viumbe dhaifu ambavyo vinatakiwa kuonewa huruma.

📌📌📌Ukitoa uchi hakuna kitu mwanaume anapata kutoka kwa mwanamke!!!Huu ni ukweli mchungu kila mwanamke hataki kuusikia.
Kiumbe dhaifu kinawapeleka puta sana.....hamna hata muda wa kuwaza mambo ya msingi, muda wote wanawake hiki wanawake kile wanawake wanawake jamani kwani kumma haizoeleki hivi au kujiendekeza 🤔
 
hakikisha unamzalisha vya kutosha ili hata aki change hupati hasara yoyote!!!

Hakikisha TU una enjoy life!hukuja kupambana na mtu Wala kushindana nae ,ulikuja kuishi hebu ishi coz kila kitu utakiacha hapa hapa!!

Ishi unalohisi ni kusudi lako,

Mwanamke akinidhulumu mali nyingi sana lakini akiwa na watoto wangu kadhaa Wala siwazi kabisa!nasonga mbele coz najua na yeye ataviacha hawezi kula vyote vikaisha ,huwezi kula majumba wala fenicha utakula kwa muda then watakuzika kama Mimi TU vile itakavyokua!!!
 
Bado mtatoka huko kwenye mashimo yenu.

Hizi gospel tunazotangaza lengo ni kufuta fikra za hovyo ambazo vijana wamelishwa kwa kipindi kirefu.

Fikra za kuwafanya wanawake kuwa kama wana kitu exceptional😄😄😄while kiuhalisia wanawake hawna kitu chochote special zaidi ya kuwa viumbe dhaifu ambavyo vinatakiwa kuonewa huruma.

📌📌📌Ukitoa uchi hakuna kitu mwanaume anapata kutoka kwa mwanamke!!!Huu ni ukweli mchungu kila mwanamke hataki kuusikia.
Pamoja na hayo yooote bado anakushughulisha🤣🤣
Hii ni maajabu
 
Umeambiwa tumia akili sio hisia🤣🤣
Hao ni watoto wako ambao ni jukumu lako kuwalea na kuhakikisha wanakwenda chooni kila siku na wasome vizuri. Hakikisha uchumi na afya ya mwili na akili vinaruhusu hilo kabla ya yote.
Kila kitu kitatumika kwa ajili ya hayo yote!!!hakuna kubeba misumari kichwani!!
 
Kiumbe dhaifu kinawapeleka puta sana.....hamna hata muda wa kuwaza mambo ya msingi, muda wote wanawake hiki wanawake kile wanawake wanawake jamani kwani kumma haizoeleki hivi au kujiendekeza 🤔
Pesa za nini bila mwanamke,
Bata za nini bila mwanamke,
Yaani udrive gari Kali,uende hotel Kali na expensive,halafu huko kote hakuna warembo ndo umefanya nini.

Wanawake wanajiremba na kupendeza kwaajili ya mwanaume.

Mwanaume naye anasaka mavumba Kwa mbinu yeyote ,ili ale mema ya nchi,hayo mema unakula na Nani?
Mwanamke Yuko wapi?

Kuhonga au kuhudumia mwanamke kuna Raha yake haswa kama chenji zipo Kwanza unaheshimiwa na kuogopwa kwasababu anajua muda wowote nafasi inazibwa.

Evelyn Salt
 
😅😅😅 hii milio inasikika kutoka kila pande za jeyihefu kuna niiiiiiiiiii😳

Maskini mleta mada 💔
TUNAOWAONEA HURUMA MNAVYOBWATULIWA VICHWA NA KUINGIA FUTI SITA KABLA YA MUDA😄😄😄

NIPO NASOLVE PROBLEM FROM THE ROOTS!!!
 
Pesa za nini bila mwanamke,
Bata za nini bila mwanamke,
Yaani udrive gari Kali,uende hotel Kali na expensive,halafu huko kote hakuna warembo ndo umefanya nini.

Wanawake wanajiremba na kupendeza kwaajili ya mwanaume.

Mwanaume naye anasaka mavumba Kwa mbinu yeyote ,ili ale mema ya nchi,hayo mema unakula na Nani?
Mwanamke Yuko wapi?

Kuhonga au kuhudumia mwanamke kuna Raha yake haswa kama chenji zipo Kwanza unaheshimiwa na kuogopwa kwasababu anajua muda wowote nafasi inazibwa.

Evelyn Salt
Aweeeeehhhh bro uko wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom