Wakuu nimepata maono wa mambo yanayokuja siku za mbeleni kuhusu AI, Hivyo hapa nafanya kama kuwatonya tu ndugu zangu msije angamia siku ikifika.
Kuanzia mwaka 2040 zitaanza movement za AI kuwa...
Ndugu wadau, habari zenu.
Kinacho mbana lisu ni matokeo ya kauli zake, hakuonesha au kusema wafuasi wake watatumia njia gani kuzuia uchaguzi usifanyike na hilo lipo wazi.
Matokeo yake Sasa...
Naweza kuandika maneno elfu 10 lakini. ukweli ni kwamba machinga wanaonewa sana.
Nature ya biashara zetu hapa bongo asilmia 80 ni uchuuzi. hawa watu wanateseka na hawana mtetezi.
Wasubiri...
Ni vuta ni kuvute kati ya wananchi wa Kata ya Buhanda, Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma, na Shirika la Reli Tanzania (TRC), baada ya baadhi ya wananchi kukataa kusaini tathmini ya fidia kwa...
Wanajukwaa.
Wiki moja na nusu nimepitia wskati mgumu sana maishani. Afya yangu ilipata pigo gumu sana, nilishapoteza matumaini ya kuishi kwa hali iliyonikumba.
Nilianza kupata dalili ya mafua na...
“si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.” (Luka 22:42)
Setfree
Psalm_23
Psalm 103
StudentTeacher
Ni ipi siri ya maisha, ni kipi kipo nyuma ya ukweli wa maisha yetu.
Nani ni muendeshaji wa kila...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeeleza kuwa imeshanunua zaidi ya tani 30 za dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo, wa kati na wakubwa walio rasmi, hatua ambayo imechangia kuongeza akiba ya fedha za...
Hivi karibuni wamejitokeza watu inaoonekana wanatumiwa na adui shetani kujaribu kuzuia habari njema za Yesu Kristo zisiwafikie watu wengi duniani. Watu hao wamekuwa wakiipiga vita teknolojia mpya...
Unakuta mtoto anatukana matusi kama mtu mzima
Ukimuelekeza kitu haelewi,
hakana adabu kajinga jinga tu halafu yuko na mzazi wake anachekelea that's not good
Mzazi mfundishe mwanao maadili mema.
Kwa nini Watanzania wanaogopa kusema "ngono" au "kutombana" badala yake wanasema tendo la ndoa (act of marriage) ?
Unakuta watu hata hawajaoana wanasema walifanya tendo la ndoa!
Ajabu ni kwamba...
pambano la kutisha chini ya maji. 🌊
Honey badger anajulikana kwa ujasiri wake wa ajabu—mnyama ambaye ni vigumu kumtisha hata anapokabiliana na hatari kubwa. Lakini safari hii, anakutana na adui...
Sr. Dkt. Sarah Kahumbya Deogratius, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kardinali Rugambwa nchini Tanzania, ametajwa kuwa mpokeaji wa Tuzo ya Else Kröner Fresenius ya Ushirikiano wa Maendeleo katika Tiba...
Nawasalimu nyote.
Nipo Kwa majumu ya kikazi katika kata flani ambayo ina wakazi wengi na imechangamka kwa kiasi cha kuridhisha.
Changamoto nikwamba kata hii haina gulio au soko ambalo...
Katika taarifa zetu tulizozipata Toka kwa wadau wetu ni kuwa takribani wiki mbili Sasa tangu CIVILIAN-COIN awasilishe Nyaraka za kubadili jina la kwanza kwenye NIDA iliyopo. Nyaraka tulizoziona ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.