Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakili Paul Kisabo kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kutoa taarifa rasmi kuhusu alipo John Pambalu, kada wa Chama cha Demokrasia na...
0 Reactions
1 Replies
175 Views
Barabara ya Kimara Korogwe - Majichumvi bomba linavunja mwezi mzima sasa bila maboresho Hapa ni Barabara ya Magufuli (Kimara Korogwe kwenda Majichumvi) hili bomba linavuja yapata sasa ni mwezi...
1 Reactions
1 Replies
133 Views
Anonymous
Naishi Mbagala, na nina dukuduku pamoja na maoni binafsi ambayo ningependa yawafikie wananchi wenzangu na mamlaka husika, ili ikiwezekana hatua zichukuliwe na marekebisho yafanyike. Kumekuwa na...
0 Reactions
0 Replies
28 Views
Njia moja wapo yakuwapoteza watu wetu muhimu na wakalibu ni kuwakopesha pesa tu sasa ili tusiwapoteze na tuendelee kuheshimiana ni vyema kuwapa pesa bure au kutokuwapa kabisa( MTU BAKI UKIMKOPESHA...
3 Reactions
11 Replies
125 Views
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Jean-Baptiste Jeangene Vilmer, Balozi Mteule wa Ufaransa hapa...
2 Reactions
2 Replies
111 Views
Anonymous
Mimi ni dereva wa pikipiki (bodaboda), na kero yangu inahusu huduma zinazotolewa katika baadhi ya vituo vya mafuta vya TotalEnergies Tanzania. Leo nitazungumzia vituo viwili tu: 1. Kituo cha...
0 Reactions
0 Replies
33 Views
Ikiwa wanafamilia wote wawili ni watu wazima wenye ridhaa na wenye umri wa miaka 21 au zaidi, mfumo wa mahakama ya jinai ya kiraia hauhukumu au kupiga marufuku uhusiano huo. Chini ya Kifungu cha...
1 Reactions
3 Replies
110 Views
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeazimia kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika sekta ya utalii na usimamizi wa wanyamapori, ikiwemo kuoanisha sera, mifumo ya udhibiti, masharti ya utoaji wa...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi wanataka abiria walipe ushuru wa kuingia ndani ya stendi. Naenda kupanda kwa ajili ya safari yangu na nina tiketi ya Machine kabisa, then inakuwaje nilipie...
1 Reactions
4 Replies
78 Views
Anonymous
Habari, naitwa Fadhili, ninaishi Dar es Salaam na ni Wakala Mkuu wa HALOPESA, Tawi la Temeke. Mawakala Wakuu wa HALOPESA hadi leo hatujalipwa stahiki zetu za kamisheni za mwezi Septemba. Kuna...
0 Reactions
1 Replies
155 Views
Kuna wazazi wanaotengana na baada ya hapo baba anakataa kuchangia mahitaji ya mtoto, akimuachia mama jukumu lote la chakula, ada, mavazi na matibabu. Lakini kwa mujibu wa Kifungu cha 129 cha Law...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watoa huduma za intaneti nchini kurekebisha kasoro katika uwekaji wa nyaya za mawasiliano za mkongo wa nyuzi za macho (fibre optic cables) ndani ya...
1 Reactions
1 Replies
105 Views
Kwenye jamii yetu, mtu akikaa kimya, akapunguza marafiki, akaacha kujieleza sana na akaanza kuishi maisha yake kwa utulivu, wengi hudhani amekata tamaa. Lakini je, kila anayejitenga anakuwa...
10 Reactions
42 Replies
352 Views
Kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na malori uliotokea Septemba 28 na 29, 2026, madereva wengi hawakujua maana ya mfumo wa points (Drivers Licence Point System). Kwa mujibu wa Kifungu cha 31...
0 Reactions
1 Replies
202 Views
Wakuu, Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland...
239 Reactions
1K Replies
215K Views
maboss zangu showcase za ukutani za bei rahisi kabisa ila muonekano 🔥🔥 hiyo niyaukutani lakini pia inahamishika. showcase tu bila taa za urembo 480k tupi dar mbagala 0692477610
1 Reactions
0 Replies
97 Views
📌 Yanyakua tuzo nne katika vipengele mbalimbali 📌 Yatambuliwa kwa ubora katika mawasiliano ya kimkakati, elimu kwa umma na usimamizi wa mawasiliano wakati wa migogoro Shirika la Umeme Tanzania...
2 Reactions
15 Replies
186 Views
Leo tare 24.5.2026 Vigwaza mzani ya Pwani, kuna mauzauza. Hapa ukijafanya kuendelea na Safari, utapata ajali hata usijue imetokeaje... Wale wanaosema waliona ng'ombe mbele wakaikwepa ndo kama...
8 Reactions
53 Replies
923 Views
Natafuta Kazi za mashambani nipo na kikosi cha watu 10,Yeyote mwenye uhitaji tuwasiliane
4 Reactions
1 Replies
33 Views
Back
Top Bottom