Mwaka 2022 nilienda mkoa X, wilaya X, Kijijii X. Ile sehemu kulikua na bwawa kulikuwa na samaki wengi aina ya kambale.
Mimi nilikuwa na mtaji wa milioni 1, kazi yangu iliyo nipeleka kule...
Yule Dogo ambaye Baba yake aliwai kuwa Mkuu wa 3 kwenye Taifa la Mcharo aliwai jisahau kuwa huwa anajitambulisha kama Atheist, akajikuta kaandika kitu kama hiki.
Baada kuwa confronted na Umma wa...
Mnamo 1989, house boy wa ki-Thai aliyekuwa akifanya kazi katika jumba la kifalme la Saudi Arabia huko Riyadh aliiba mamia ya pauni za vito, ikiwa ni pamoja na almasi ya bluu ya karati 50...
Actually nchi yetu Tanzania ina changamoto nyingi sana na huenda zikachukua miongo mingi kuzitatua. Tumekuwa tukilalamikia changamoto nyingi za nchi hii huku wengi wakitamani zitatuliwe, na hii...
UAE imekua nchi ya kwanza ya kiarabu kuishambulia Iran
Jamaa wamelenga water desalination plants ya Iran
Sasa basi wanaenda kupigwa mpaka wakome
Wanaenda kuanza upya
Huenda Mungu kasikia kilio...
KWA Maduro Venezuela tukasema MMH hakuwa na makubaliano ya kumlinda, tukafunika kombe,
Mmmh HATUJA KAA SAWA mara KHAMENEI hatunae, TENA HUYU walimhakikishia kabisa wakajifanya KUSIMAMA kidete...
Baada ya safar ndefu na kuona sasa unaingia usiku, nikawa nimepitia mji mmoja hivi nichukue chumba nilale kiufupi nilipata.
Majira ya saa nne usiku akaja jamaa mmoja kuuliza chumba akajibiwa...
Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi.
Kwa hakika tunahitaji ubunifu...
Mama yako ndiye anajua hatma yako tangu ukiwa tumboni au ukiwa mtoto mchanga.
Kuna jambo anaweza kuongea kama masihara vile, wewe haupaswi kulipokea kama masihara.
Mama yako akimwona mchumba wako...
Naomba mnisaidie kufahamu hizi taasisi zipo chini ya wizara gani?
1. BRT - barabara ya mwendokasi
2. SGR
3. MGR
4. Bomba la mafuta kupeleka nje ya nchi au nje ya DSM
5. Miundombinu ya reli
6...
MAMA YETU GWAJIMA
SHIKAMOO POPOTE ULIPO
KWANZA NIKUTAKIE HERI YA SIKUKUU YA WANAWAKE BORA KTK NCHI HII KUTOKEA UONGOZINI
NISIKUCHOSHE NAJUA UKO KTK SHAMRA SHAMRA BADO TUNAOMBA MSAIDIEN HUYU...
Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia
Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa?
Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda...
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema serikali itatoa shilingi bilioni 8.1 kwa ajili ya matengenezo ya miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa...
Mara nyingi ukisikia Takwimu za waathirika wa UkIMWI wanawake wanakuwa kwa idadi kubwa kuliko sisi wanaume, hata magonjwa ya zinaa mengine ni hivyo hivyo hii kwa asilimia kubwa hutokana na Uzembe...
Mtiririko wa videos za njia ngumu na shuruba wanazokutana nazo madereva
Wewe kama unajifanya ni dereva mahiri hawa sijui watasemaje
https://www.facebook.com/share/r/1AtAULYApA/
Happy International Women's Day.
Zama hizi zimejaa wenye jinsia ya kike… kuliko wanawake.
Wanaojifunza kuonyesha mwili kabla ya kuonyesha akili.
Wanaotafuta nje yao sifa za dunia kabla ya...
Haya makanisa kwanza yapo kibiashara zaidi.
Nikweli makanisa yote yapi kibiashara lakini ya kilokole yapo kibiashara nje nje bila kufichwa utaambiwa live.
Hii ni mifano michache tu
•Kumuona...
Unapoenda kutembelea mtu toa taarifa kwanza, usilalale zaidi ya siku mbili kupelekea kuleta usumbufu hadi unalala na watoto wadogo.
Ni aibu katika karne hii bado una unahangaishwa na mambo ya...
Unakuta fundi anasifika mtaalamu wakutengeneza Range Rover ila shida ukienda garage kwake unakuta na range kibao zipo juu ya mawe kama mteja unapeleka chuma yako hivi upati wasiwasi kuwa unaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.