Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mchungaji Jesse Jackson amefariki,, Amezikwa jimboni kwake Chicago..Jesse Jackson ni mtu maarufu….ni mpigania haki za binadamu na ubaguzi kwa watu ambao ni less privileged na sio watu weusi tu...
1 Reactions
1 Replies
204 Views
Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi? Au ni ulimbukeni tu?? Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu na wanaponunuliwa/ kupewa...
13 Reactions
89 Replies
4K Views
Yon 1:17 SUV [17] BWANA akaweka tayari samaki mkubwa ili ammeze Yona, naye Yona akawa ndani ya tumbo la samaki yule muda wa siku tatu, mchana na usiku. Kisa hichi cha Yona kumezwa na samaki na...
3 Reactions
4 Replies
193 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhi rasmi eneo la ujenzi wa tenki la maji litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi lita 500,000 katika eneo la Mbezi Msumi kwa...
1 Reactions
1 Replies
160 Views
Mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 70 tangu China na Afrika kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia, na pia umetangazwa kuwa “Mwaka wa Mawasiliano ya Watu kati ya China na Afrika”. Kwa kuangalia historia...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Wakuu hivi cheo alicho kuwa nacho ayatollah yule jamaa aliepigwa bomu ndo sawa na cheo cha mufti wetu hapa Tanzania? Asante
13 Reactions
140 Replies
1K Views
Viongozi wa kisiasa wanaposema wananchi ni wavumilivu wanamaanisha moja ya kipimo cha uvumilivu ni kusimama kwenye daladala mkiwa mmejazana afu hali ya hewa ni joto.
10 Reactions
35 Replies
617 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeungana na Wanawake Dunian kote katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kata ya Mburahati, Wilaya ya Ubungo...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Kampuni pekee ambayo Ina magari mengi lakini madereva wanaogopa kufanya kazi. Dereva yupo radhi akae bila kazi kuliko kufanya kazi ASAS. Kwanini?
2 Reactions
13 Replies
800 Views
Igweeee! wanajukwaa wkwa wenye experience na kiinua mgongo katika sekta tajwa anabeba ngapi?? Na je kila mwezi wanapokea Pesa sijui inaitwa pension? kitu kama hicho. Je ni bei gani. kwa wajuzi...
1 Reactions
19 Replies
496 Views
Mwaka 2022 nilienda mkoa X, wilaya X, Kijijii X. Ile sehemu kulikua na bwawa kulikuwa na samaki wengi aina ya kambale. Mimi nilikuwa na mtaji wa milioni 1, kazi yangu iliyo nipeleka kule...
13 Reactions
50 Replies
7K Views
Yule Dogo ambaye Baba yake aliwai kuwa Mkuu wa 3 kwenye Taifa la Mcharo aliwai jisahau kuwa huwa anajitambulisha kama Atheist, akajikuta kaandika kitu kama hiki. Baada kuwa confronted na Umma wa...
1 Reactions
0 Replies
112 Views
Mnamo 1989, house boy wa ki-Thai aliyekuwa akifanya kazi katika jumba la kifalme la Saudi Arabia huko Riyadh aliiba mamia ya pauni za vito, ikiwa ni pamoja na almasi ya bluu ya karati 50...
1 Reactions
0 Replies
165 Views
Actually nchi yetu Tanzania ina changamoto nyingi sana na huenda zikachukua miongo mingi kuzitatua. Tumekuwa tukilalamikia changamoto nyingi za nchi hii huku wengi wakitamani zitatuliwe, na hii...
4 Reactions
28 Replies
575 Views
UAE imekua nchi ya kwanza ya kiarabu kuishambulia Iran Jamaa wamelenga water desalination plants ya Iran Sasa basi wanaenda kupigwa mpaka wakome Wanaenda kuanza upya Huenda Mungu kasikia kilio...
6 Reactions
20 Replies
663 Views
KWA Maduro Venezuela tukasema MMH hakuwa na makubaliano ya kumlinda, tukafunika kombe, Mmmh HATUJA KAA SAWA mara KHAMENEI hatunae, TENA HUYU walimhakikishia kabisa wakajifanya KUSIMAMA kidete...
8 Reactions
18 Replies
311 Views
Baada ya safar ndefu na kuona sasa unaingia usiku, nikawa nimepitia mji mmoja hivi nichukue chumba nilale kiufupi nilipata. Majira ya saa nne usiku akaja jamaa mmoja kuuliza chumba akajibiwa...
11 Reactions
31 Replies
834 Views
Hapa nilipo kitimoto inayopatikana ni ya kukaanga iliyo kavu au rosti tu, ya kuchoma inapatikana kwa nadra sana, na hivyo ndivyo hali ilivyo sehemu kubwa ya nchi. Kwa hakika tunahitaji ubunifu...
5 Reactions
11 Replies
465 Views
Mama yako ndiye anajua hatma yako tangu ukiwa tumboni au ukiwa mtoto mchanga. Kuna jambo anaweza kuongea kama masihara vile, wewe haupaswi kulipokea kama masihara. Mama yako akimwona mchumba wako...
0 Reactions
1 Replies
149 Views
Back
Top Bottom