Nahisi usipoheshimu siku zote za uhai wako, unaweza kuja kuishi kwa kujifichaficha.
Hata ukihudhuria jambo ukajificha kamera zisikuone.
Nauliza je ikiwa hali imeshakuwa hivyo nitafanyaje
Mambo ambayo Mungu akitaka kukuinua na kuwa mtu mkubwa(born for greatness) anakubariki
1.Mungu anakupa heshima ambayo watu watakupenda na kukuamini
2.Upako(power), Mungu atapokuinua atakupa...
Zamani zetu kuwa chizi/ kichaa ilikuwa msiba wa kaya na jumuiya yote ya eneo hilo
Sababu za uchizi zilitafutwa na kufanyiwa utafiti. Familia husika ikifanya kila liwezekanalo isihusishwe na...
Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka
Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara...
Post hii ni mkusanyiko wa maswali kupitia pm na ziada
Kwanza niwapongeze wale wote waliojaribu kufanya meditation kwa vitendo na kukutana na hali za ajabu kushangaza ama kutisha... Hizo ni hali za...
1. Hatari ya silaha za nyuklia
Marekani inaona mpango wa nyuklia wa Iran kama tishio kubwa—inamshutumu Iran kutaka kujenga silaha za nyuklia (na wakati huo Iran inasema ni kwa matumizi ya amani...
Habari za Dominica,
Wanasema usipoweza kuingiza pesa ukiwa umelala, utafanya kazi maisha yako yote, sasa naomba kujua ni vipi naweza kuingiza pesa nikiwa nimelala?
Natanguliza shukran.
1. Barabara Kuu: Arusha - Simanjiro - Kiteto - Kongwa
Hii ni moja ya barabara ndefu zaidi nchini iliyobaki katika kiwango cha changarawe inayounganisha mikoa mitatu. Barabara hii, iliyo chini ya...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limepokea taarifa za vijana watano wanaodaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha tangu mwisho wa mwaka 2021. Kamanda Jumanne Muliro...
Mheshimiwa, Kwanza nikupe pole na Hongera Kwa kazi unazofanya kwenye Jamii.
Mheshimiwa nakumbuka mwaka juzi kwenye mafuriko na sintofahamu pale ilipokuwa awali Shule ya Msingi Juhudi, kata ya...
Habari za Sabato Wakuu!
Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa.
Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo...
Wakuu kwema?
Weekend nilienda kumtembelea ndugu anaishi kigamboni mitaa ya uwanja wa machava, amerent kwenye ghorofa ambayo ina wapangaji wengi
Room yake iko ghorofa ya chini ila juu kuna...
Kikao cha Kamati ya Fedha cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinafanyika jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 09, 2026 kujadili hali ya fedha ya jumuiya hiyo muhimu katika...
Ushauri kwa Serikali kupitia TANROAD, ni afadhali kutokujenga barabara za lami zenye kiwango cha chini mpaka pale budget kubwa itakapopatikana
Kujenga barabara za lami zenye kiwango cha chini cha...
Nachoka sana, wanawake ni pretenders wazuri sana,
Hype lote la jana kujiita malkia wa nguvu na kuhudhuria kikao cha super woman pamoja na kutoa speech, bado aniombe hela ya mboga ?
Wakuu wiki hii kwa mara ya kwanza nimepata uhakika wa bila kuhadithiwa na mtu umuhimu wa kumiliki ardhi au nyumba. Ninakumbuka nilikuwa bado niko chuo, mzee wangu akaniambia nimtumie Tsh 50,000/=...
Habari, hebu naomba wenye uelewa na wale walopita UDSM na MZUMBE mnisaidie dukuduku langu
Natumai jina la professor DANIEL MKUDE mnaweza mkawa mnalifahamu, alikuwa ni padre pale UDSM pia ni...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amemtembelea na kumjulia hali Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi Zahir Ally Zorro nyumbani kwake Kigamboni Jijini...
[emoji253] Mwanamke wewe ni wa Thamani sana, wewe ni Imara mwenye Nguvu, wewe ni mlango wa Uhai,
Wanakudanganya eti umetoka kwenye ubavu wa Adam kwa hiyo wewe ni Dhaifu, hapana alikuwepo Adam peke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.