Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Yan kama sio ushenz na upuuz,unawezaje tegemea kamari kama njia ya riziki.Badala ufanye kazi upate hela unayoiona,ww unasubiria hela ya mafikirio.kama washenzi wengine hapa dar,kwel hapa bongo...
3 Reactions
7 Replies
127 Views
Anonymous (c723)
Sisi ni Wamiliki wa Tipa za kusomba madini ujenzi Manispaa ya Iringa tuna kero yetu, kwa kawaida Ofisi ya Madini Mkoa huchukua shilingi 8,000 kwa kila ‘trip’ moja. Wakati huohuo Ofisi ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mtu anakuwa na hurka ya kuchakalika kutafuta kwa namna yoyote na kwa mahali popote. Unakuta anaijua science kuzifukuzia fursa na kuzivumbua nyingine ila ikija sasa katika usimamizi wa kile...
4 Reactions
8 Replies
189 Views
Anonymous
Barabara ya Bonde la Mchicha ambayo inatumiwa mara nyingi na Wakazi wa Tabata Kimanga, Mawenzi, Segerea, Kinyerezi, Bonyokwa hata Ukonga na Gongo la Mboto ni mbaya na imekuwa kero kubwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Anonymous (c723)
Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025. Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Hivi ulishakaa na kujiuliza Mwenyezi Mungu ametokea wapi? Na ilikuwaje kuwaje akawaza kuumba . Je maisha ya upweke aliishi kwa muda gani kabla hajaumba malaika ,wanadamu na majini na viumbe...
12 Reactions
54 Replies
850 Views
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia wanafunzi 17 wa Chuo cha Ardhi Tabora kwa tuhuma za kumshambulia na kumjeruhi mlinzi wa chuo hicho pamoja na kuwatishia wanafunzi wenzao kwa silaha za...
2 Reactions
9 Replies
378 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Simiyu inaunga mkono juhudi zinazofanywa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Matavila, ameishukuru Benki ya Dunia kwa msaada wa kifedha na kitaaluma wa kukabiliana na...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Watumiaji wa barabara ya Morogoro hususani tunaokwepa foleni kutoka picha ya ndege kuelekea Mlandizi tumekua tukitumia old Morogoro road ila kwa kipindi kirefu tumekua tunapata shida tunapofika...
1 Reactions
2 Replies
241 Views
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imeamua kuwa vifungu vya Katiba ya Tanzania na Zanzibar vinavyozuia mahakama kuhoji maamuzi ya Tume za Uchaguzi vinakiuka haki zinazolindwa chini ya...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Anonymous (b3c1)
Kampuni ya Throne Bet yatokomea na mamilioni ya fedha za wateja wake baada ya kusitisha huduma za mtandanoni bila taarifa Wimbi la sintofahamu limewakumba mamia ya wateja wa kampuni ya michezo ya...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Aisee leo mburahati hakukaliki magari ni mengi mno kuanzia viwanja vya shule ya msingi mburahati hadi kituo cha polisi hapa baadhii ya magari yaliyoleta watu yamerudi yalipotoka haya yaliyopo hapa...
3 Reactions
3 Replies
127 Views
Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New...
0 Reactions
3 Replies
309 Views
Wakuu, mitano iliyopita kanisa kubwa la kilokole lilijengwa karibu na kwangu na Kila kukicha waumini wanazidi kuongezeka kanisani mule. Kwa hakika waumini wa kanisa lile wanazidi kuongezeka kila...
16 Reactions
95 Replies
1K Views
Mtoto wakike mrembo wa kidato cha 4 kaingia kwenye nyumba ya mwalimu msela tangu saa 4 asubuhi hadi sasa hajatoka. Ni mtoto wa diwani wa CCM.
7 Reactions
9 Replies
291 Views
Jeshi Letu la JWTZ Linatumia Teknolojia ya AI Kuboresha Ufanisi Kwenye Ulinzi? Katika mifumo ya ulinzi ya jadi inayotumia rada za kawaida, changamoto kubwa imekuwa uwezo mdogo wa kuchambua...
2 Reactions
8 Replies
311 Views
Back
Top Bottom