Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unaamka unaenda kazini unarudi ukipata hela ni kula vizuri kulipa pango kahela kakizidi ni kununua vitu vya ndani /funiture, na kujipigia pamba na kula madem/wengine kudanga., hebu nisikilize basi...
9 Reactions
32 Replies
427 Views
Nadhani moja ya kazi ngumu kabisa kwangu ambayo siwezi kufanya ni kuimba kwaya pamoja na kushona sare hasa za vitenge!. Wanaume mnaimba kwaya mnastahili pongezi mwenzenu yameshanishinda. Ile...
14 Reactions
56 Replies
881 Views
Wajombq hv cozi ya cargo scanner inatolewa chuo gani na vigezo n vp pamoja na ada?
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Waungwana, hii mnakubaliana nayo kweli? Hivi hawa jamaa wanatuchukuliaje!? Kwamba hadi macho madogo wametupita sisi? Kuna mambo ya sisi kuwa nyuma, sio hili, nimekataa...
1 Reactions
24 Replies
491 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa...
3 Reactions
2 Replies
193 Views
Dar es Salaam. Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa maagizo matano kwa Bodi ya Kituo Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC) kilichopo...
1 Reactions
1 Replies
169 Views
Kumekuwepo na video zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania zikionyesha magari yakisombwa na maji katika mto. Baadhi ya watumiaji wa mitandao hiyo wametoa maoni wakidai...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Kwanini alitangazwa kuwa mtakatifu wakati alikua child trafficker mkubwa na supplier wa watoto kwa kina Epstein? For 45 years, the world called her a living saint. Mother Teresa. Nobel Peace...
5 Reactions
169 Replies
1K Views
Inasemekana mama Samia, akiamua hashindwi na lolote aamualo akilivalia njuga. Sasa unadhani ananafasi gani ya kutuliza mgogoro wa pale mashari ya kati, maana tunaambiwa yeye si haba katika kuamua...
9 Reactions
60 Replies
753 Views
Ngoja niwape hint kidogo ili kuokoa baadhi ya nafsi katika wimbi la umaskini na kuharibikiwa akili. Kuna makundi ya watu 2. Kundi la kwanza ni wale wanaoshinda mitandaoni hasa wadada wakipost...
9 Reactions
103 Replies
2K Views
Habari wana jamvi Moja kwa moja kwenye maada, nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande na sabuni za gwaji/mawingu. Lakini nimebaki na ujuzi tu mtaji sina, hivyo kwa mwenye kuvutiwa na...
3 Reactions
8 Replies
585 Views
Hii ishu ya huyu 'nabii' ilishafikishwa kwenye vyombo vya kisheria na ndoa ilivunjwa kisheria 2014, miaka 8 iliyopita! Sijui ninini kilichoiibua tena hivi karibuni! Ama pengine ni ujio wa huyo...
10 Reactions
48 Replies
4K Views
Maslahi yangu kiroho: mimi ni mshika dini kwa imani na dhehebu langu na nina hofu na Mungu Dini ni njia buniwa ya mwanadamu ya kumtafuta Mungu iliyoshindwa vibaya kabisa; chochote afanyacho...
24 Reactions
162 Replies
12K Views
Naandika haya nikiwa kitandani nagonjeka. Mwili wote unauma sana! Ni wazi maisha yamebadilika sana, dunia imebadilika sana na wanadamu nao wamebadilika sana, vitu karibia vyote vimerahisishwa...
14 Reactions
85 Replies
8K Views
Muda unaonekana mrefu ukiwa na miaka 18, 20 au 25. Lakini ukweli ni kwamba miaka inapita kwa kasi ajabu. Jana ulikuwa mwanafunzi, ghafla una miaka 30 unajiuliza muda ulienda wapi. Ndiyo maana: •...
15 Reactions
26 Replies
431 Views
Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba...
9 Reactions
53 Replies
889 Views
Hiki ni kitabu alichoandika Khamenei akiwa anaelekeza sheria ya ndoa. Khamenei anasema mtoto akiingiza miaka 9 ni ruksa kumuingilia kimwili. Nilipopiga yowe la uchungu wa uzazi ni hapo aliposema...
13 Reactions
95 Replies
2K Views
Sqm400; Kiluvya, 3km from mainroad, msingi ni vyumba viwili+sebule+jiko. Hati ipo. Mil 7, pesa nusu inapokelewa.
3 Reactions
5 Replies
232 Views
Hivi ukiagiza chai ya maziwa halafu ukaletewa maziwa na majani ya kuchovya(teabags) pembeni hapo unakuwa umepewa chai ya maziwa au ni maziwa yaliyowekewa majani ya chai? Mimi nafikiri chai ya...
4 Reactions
11 Replies
250 Views
Back
Top Bottom