Kuna maeneo ukienda kutafuta pesa unaweza kupata, ila ni ngumu kurudi nazo

mbuyao

JF-Expert Member
Dec 25, 2021
209
333
Mwaka 2022 nilienda mkoa X, wilaya X, Kijijii X. Ile sehemu kulikua na bwawa kulikuwa na samaki wengi aina ya kambale.

Mimi nilikuwa na mtaji wa milioni 1, kazi yangu iliyo nipeleka kule uwakala, maana kule uwakala ulikuwa unalipa sana, mfano mtu anakuja na laki umtumie lazima akupe elfu tano ya kutumia .

Mtandao ulikuwa ni mmoja tu ndo unashika hiyo sehemu, kwa siku nilikuwa napata hadi laki Moja inayotokana na watu wanao tuma pesa, kamisheni kwa mwezi nilikuwa na lipwa hadi laki 5, makusanyo kwa mwezi nilikuwa nagusa hadi milioni Moja na laki tano hapo nimetumia familia matumizi.

Mimi mwenyewe nakunywa na vaa fresh ndo nabaki na hiyo milioni Moja na laki tano, muda mwingine inazidi hadi milioni 2.

Sasa Ile sehemu kulikuwa na wanaume wengi sana wanao jishughulisha na uvuvi, ukawa uhaba wa wanawake. Mimi nikaona fursa, pesa ninayo nika Jenga Banda kubwa sana nikaligawa sehemu ya ukumbi wa kuonyesha mpira, nikakata vyumba kama kumi, nikaenda town nikanunua vigoro (viulimi) kama kumi, nikanunua mafolonya 10 yakuvalishia godoro nikayachana katikati hivyo nikapata mashuka yakutandikia yale madogoro(viulimi).

Baada ya kumaliza kaujenzi bubu, nikaenda morogoro nikafata wadada kama 10 wanisaidia kuuza baa, nikafika nao kwenye lile Poli eeeh bwana kweli kazi nikafanya wanaume walikuwa Wanajaa kwenye ofisi yangu sio pouwa, wakuangalia wapo, wakunywa pombe wapo, wakutafuta madanga wapo hivyo nikawa nakusanya pesa Kila sehemu gesti bubu inanipa elfu 30 Kila siku, uwakala unanipa laki Kila siku, pombe nilikuwa na kreti 20 nikawa nimewakabidhi wadada kreti mbili mbili, bia tulikuwa tuna uza 2500 kreti Moja ilikuwa inanipa 50000.

Wale wadada nilikuwa nawalipa kwa kreti 2000, ila wao kazi yao kubwa ilikuwa kudanga kimoja elfu 7, hivyo makusanyo yapesa yalikuwa makubwa sana na Ile sehemu nikawa naitwa boss mtoto, hadi 25/10/2022 nilikuwa na mtaji wa milioni kumi.

Sasa siku Moja majira ya saa 4 usiku watu wapo kwenye ukumbi wa mpira wanacheki movie ya ottoman, huku wanakunywa pombe, punde si punde nje nasikia taa zinavunjwa kwa fimbo hizi za wafugaji aina ya mlanga, wamezunguka Banda lote. Walivyomaliza kuvunja taa za nje wakaingia ukumbi kundi la watu wanafimbo, mapanga na sime za kifugaji.

Walivyoingia mule walipiga watu sana na mafimbo na mapanga, wakaenda vunja TV inch 42, speaker yote wakavunja huku wanasema muhusika wa hapa yupo wapi. Mimi nilikuwa chumba changu cha kujajisha simu na kutuma hela.

Baada ya kusikia yale maneno nikaweka hela vizuri nitafute namna ya kutoroka maana watu walikuwa wanalia kama watoto wanapigwa vibaya sana kipigo cha mbwa Koko.

Nilifanikisha kutoroka nikaenda mapolini nikajificha, asubuhi kulipo kucha mkuu wa kituo akasikia Kuna kambi watu wamepigwa na kuporwa vitu akaja akaitisha mkutano, kule kuna makabila ya wahazabe, watatoga, wamang'ati na wailaki.

Hawa jamaa sio wastaarabu hata kidogo, wanaweza kukuta unakula wenyewe wanatema mate hapohapo tena mate mazito maana wanashinda wanakula ugolo, ukiwauliza kwanini unafanya hivyo wanasema tumewafata kwenye nchi yao, na tena ukijifanya mjuaji, usiku unaweza fatwa na kundi la watu ukaja pigwa kama mbwa Koko.

Basi alivyo kuja mkuu wa kituo ukaitishwa mkutano (wakapiga debe). Kuna baadhi ya watu wakakamatwa kama 10 palepale amabao walikuwepo siku ya kuvamiwa kwangu, nikatoa laki 3 zikachukuliwa boda 10 zikawapeleka wa tuhumiwa kituo kama km 5, nikafungua kesi.

Mkuu wa kituo aliwatoa watu 9 kwa dhamana ya laki 4 Kila mmoja, sikupata hata mia, nikabakiwa na mtu mmoja ambaye ndo mhusika mkuu nikaendane mahakamani.

Mkuu wa kituo amejenga banda anauza bangi na gongo. Ole wako asikie kuna mtu anauza ganja unafatwa, ana kikundi cha wamama wanaouza gongo wanachangishana Kila tarehe fulani anatumiwa pesa mkuu na hao wa mama.

Ametoka kituoni anakaa na wavuvi na yeye kajenga banda la nyasi anauza duka, ukienda kituoni unakutana na popo tu hakuna mtu hata mmoja, kituo kizuri kina umeme, nyumba nzuri za kisasa ila hazikaliwi na askari, wao wamejichanganya na wavuvi fulu kupiga pesa tuu.

Mkuu wa kituo amenunua Prado ndani ya miezi sita, ila nasikia Sasa Kawa kichaa huyo mkuu wa kituo.

Basi Ile kesi niliindesha jamaa akanilipa pesa kama milioni 2 nikarudi zangu nyumbani kuiona familia, wife akawa amejifungua.

Sasa nipo pori jingine napamba ila Sasa navua samaki (samahani kwa uandishi mbaya). Picha ni nyumba zetu na kumbi zetu za starehe

IMG_20230630_142122_844.jpg
IMG_20230630_142045_819.jpg
 
View attachment 2674223View attachment 2674224
Sasa mkuu si uutaje huo Mkoa na Wilaya ili uwasaidie wengine wenye mpango wa kuelekea upande huo?
 
Chai
 
Back
Top Bottom