Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Jamani ndugu zangu tunaopatikana pande za Arusha twende kwenye mazishi ya marehemu mr.Ebo.Tulimpenda ila MUNGU ALIMPENDA ZAIDI JINA LA MUNGU LITUKUZWE.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kindly follow the url BONGOMP3- Download miziki mipya ya bongo | Bongo flava, nyimbo za dini, boringo, taarabu, zilipendwa na VICHEKESHO
0 Reactions
6 Replies
9K Views
"Kwetu Pazuri Nimeshapakumbuka". Ile kwaya ya Ambassador of Christ kutoka Rwanda Itakuwepo pale Diamond Jubillee Jumapili 04/12/2011 wakizundua Album yao mpya waliyoiandaa baada ya kupata ajali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
She's Too Good For Everyone Lyrics Oh here she comes, it's "miss too good for everyone", Hot since the seventh grade, mean as a snake in a knot Not just some pretty girl, she's "muy en...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau, hivyi katika tasinia ya habari Tanzania kuna mtangazaji anaelipwa mil 5 za Tanzania au zaidi? Lakini kwa Kenya na Uganda mambo ni kama hivyi; Allan Kasuijja is the highest paid radio...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Hili goma lilikuwa ni kali lilipendwa sana kanda ya ziwa na kwingineko nilisikia kuna tajili mmoja wa Kenya aliwatafuta waimbaji wote waliopo hai na kuimba nyimbo zote upya na kuziweka on video...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
l http://youtu.be/4gTAAduiW3Y Kwa mlio mbali na nyumbani, haijalishi upo Dar na kwenu Kigoma, upo Lindi na kwenu Mwanza au upo Norway na kwenu ni Congo.This one is for you. Enjoy. T
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau na wapenzi wa muziki wa hip-hop tujadili track kali ambazo zinasumbua masikio yetu kupitia redio zetu na macho yetu kupitia Tv zetu: Mimi napenda hizi zifuatazo: 1.''how to love''- Lil...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Prodyuza na mmiliki wa studio ya Combination Sound, John Shariza a.ka Man Walter amezitaja sababu zilizomfanya msanii 20% kutokwenda kwenye studio yake. Msanii huyo ambae ameandaa albamu yenye...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
CONRAD MURRAY found guilty for supersatar's manslaughter. The jury deliberating the fate of Michael Jackson's doctor has found him guilty of involuntary manslaughter. Conrad Murray,58,was...
0 Reactions
3 Replies
949 Views
Hi! Jf,kati ya ferouz,na Tundamani nani mkali wa ngoma za kulialia? Ferouz amelia ngoma kibao,tangu DazNundaz,mpaka alipatoka kivyake..msikie Tunda anavyolia pale Tiptop connetion...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hakika ile shoo iliyopigwa na muheshimiwa Sugu akishirikiana na Vinega kweli nimemkubali huyu muheshiwa mbunge aliturusha mpaka nimeburudika vya kutosha! Sasa namtaka kijana Ruge akubali yaishe na...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
kwa wale ambao hawakupata nafasi ya kushuhudia uzinduzi wa anti virus leo itaruka hewan katika kipindi cha planet bongo cha eatv, ukweli utajulikana na tutajadiri maswala mengi ya msing tu karibun...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu huwa napenda sna documenatry sababu ni syry za ukweli. Juzi juzi nimetazama documenatry moja ya kusisimua yenye tittle kama kichwa cha habari . Inasikitisha sababu kijana mdogo sababu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Have you visited me ? Kids Fun Spots, Shopping areas, Movies, Bar and Lounge, Supermarket etc etc.. Click on the Like button to join the fan page and share with friends and family ;-) Here is...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sister P akikamua Zay B jukwaani Daz baba akifanya kweli DJ Sox akifanya mambo yake Mkoloi akiwa kazini Mr Simple, Diwani wa Ticket ya CHADEMA Mashabiki wakipagawishwa Sugu...
3 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu sasa nimeamini rasmi kweli kwenye vita ya haki ushindi ni lazima, hii ni kufuatia Tamasha kubwa la Anti Virus with no apology na kufana kupita maelezo, leo kwa mara ya kwanza asubuhi hii...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Dawa pekee inayoweza kuwadhibiti CHADEMA ni kupiga marufuku viongozi na wanachama wao kufikiri. Maana kila mara dola inapojiona imeweza kiukweli ndo inakuwa ndo bado kabisa. Kama ni mechi basi...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu watanzania wa kweli. Jana nimewasikiliza vinega kupitia FNL kusema ukweli wamenigusa sana nusura nitoe chozi jinsi wasanii wa bongo wanavyodhulumiwa. Mi mwenzenu leo mapemaaa naenda...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…