Horrow House QUALITY CENTREN, nenda katembelee leo, utaburudika na kushangaa mengi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Horrow House QUALITY CENTREN, nenda katembelee leo, utaburudika na kushangaa mengi.

Discussion in 'Entertainment' started by Kaliua urambo, Jan 23, 2012.

 1. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  KAMA hujatembelea jengo jipya la biashara la Quality Centre lililopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam, basi tembelea leo kwani unapitwa na mambo mengi.

  Kuna hii kitu ya kutisha , jingo la majini

  Nilitembelea jingo hilo nikakutana na ubunifu wa hali ya juu. Ndani kuna majini ambayo yanatisha. Wapo waliosimama, aliyekaa, waliofungiwa vyumbani na kuna ‘mait’ inayonyanyuka na kupiga kelele za kutisha.

  Yupo ‘jini’ la kike ambalo licha ya kuwepo kwa kitanga, halitulii, linapiga kelele huku likielea angani. Ni mambo ya kutisha. Kuna vyumba vine vya sinema. Nisimalize uhondo, nenda katembelee leo, utaburudika na kushangaa mengi.

  Nenda sasa kama bado,kama tayari vp ulitishika?
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unatushauri sisi tuende au tuwapeleke wanetu?
   
 3. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Promo au Marketing!?
   
 4. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimeburudika tu ,sina 10% mkuu
   
 5. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Naona uko kazini kufanya matangazo, lakini ungeitendea haki JF kama nao ungewalipa kutumia jukwaa kufanyia matangazo ya biashara
   
 6. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wote kwa mpigo,mtaenjoy
   
 7. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kizuri kula na nduguyo,wabongo kila kitu mnafikiria maslahi tu watu wengine tunapenda vizuri na wenzetu mfaidi vya halali lakini
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hilo neno jingo ndio nini na majini yako sehemu gani maana nilishaingia hapo naomba maelezo yanayoeleweka mkuu..:shock:
   
 9. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  wewe ukifika ulizia horrow house,sehemu ya kutisha,utaenjoy
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  hii miutamaduni ya Marekani hii?
  Eti jumba la kutisha, halafu uenjoy?
  Ushetani mtupu...
   
 11. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Acha woga nenda kaburudike,kuna vigine vitamu watu wanakula huku wakilalamika au hujawahi sikia machozi ya furaha?
   
 12. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Ivi jini au shetani ni lazma atishe au ni hadithi tu ambazo bila kumtaja sungura hazinogi? Hapo ni kwaajili ya kuwatishia watoto wasiopenda kula au kukojoa kitandani, sio sisi wenye nywele za chini. Usitutishie kinyago cha mmakonde.
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Ivi jini au shetani ni lazma atishe au ni hadithi tu ambazo bila kumtaja sungura hazinogi? Hapo ni kwaajili ya kuwatishia watoto wasiopenda kula au kukojoa kitandani, sio sisi wenye nywele za chini. Usitutishie kinyago cha mmakonde.
   
 14. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kuna mwenzio aliaapa tukampeleka mwishowe akatoa manati yake
   
 15. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  msamehe!!
   
Loading...