Naomba kujuzwa tofauti hii katika uandishi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa tofauti hii katika uandishi.

Discussion in 'Entertainment' started by Engager, Feb 1, 2012.

 1. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kuna tofauti gani kati ya script writing na screenplay writing. Kwa yeyote mwenye uelewa naomba kujuzwa tafadhari.
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Engager,

  Kwa ufahamu wangu mdogo, vitu hivi nitavieleza kama ifuatavyo:
  Unaweza kuyatumia maneno yote mawili katika maana ile ile.
  Hata hivyo, neno "script" ni neno la kitambo zaidi na lina matumizi
  mengi tofauti na "screenplay". Script ni maandishi ya mchezo
  (wa maonyesho au redio) kama vile inavyohusishwa pia na filamu.
  Linapotumika kwenye filamu, neno "script" linaweza kuhusisha
  characters descriptions, plot developments, descriptions of emotions
  walizonazo wahusika, physical actions, na dialogue.

  Neno "screenplay" kwa upande mwingine, matumizi yake yapo limited,
  kwa kuwa linatumika katika kuandika filamu na televisheni tu "screen".
  Linatia mkazo zaidi katika visual aspects kuhusiana na utengenezaji wa filamu,
  na linaweza kutumika ama katika adaptation kutoka kwenye kitabu, mchezo
  n.k. Katika dunia ya filamu, mtu yeyote ambaye anaandika kwa ajili ya sinema
  na televisheni hujulikana kama Screenwriter badala ya Scriptwriter, ndiyo maana
  hata tuzo hutolewa kwa "Best Screenplay" badala ya "Best Script."
  Sijui kama nimekata kiu yako mkuu…
   
 3. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  nimekuelewa mkuu. Aksante sana
   
Loading...