Kuanzia leo wimbo HAKUNAGA naanza kuuchukia..

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
kuanzia leo natangaza kuacha kufagilia wimbo wa HAKUNAGA kwa sababu mwanamziki aliyeimba wimbo huu SUma lee kaamua kuubadilisha maneno yake na kuwa HAKUNAGA kama CCM (nimeona kweny TV akiwa Mwanza).

umeniboa sana Suma Lee. laiti ungejua kuwa una mashabiki wa aina tofauti tofauti usingefanya kitendo cha kipuuzi kama hiki. umeboa sana
 
Hata mi sitaupiga tena.nakumbuka MH ZITTO nae imshabiki wamziki huo akisikia leo ataacha ushabiki tena na suma ji
 
Hiyo cd aliyotumia suma lee ni ya kuchoma? Naona ilikuwa inagoma goma na kukwaruza au ni wamekodi music wa bei nafuu
 
atakufa kifo cha maro. labda aombe Mungu aendelee kubebwa na ccm. hii ameianza kitambo. jmos iloisha alikua tawi la ccm kurasini pale mti mlefu kwa huo huo wimbo.
 
kuanzia leo natangaza kuacha kufagilia wimbo wa HAKUNAGA kwa sababu mwanamziki aliyeimba wimbo huu SUma lee kaamua kuubadilisha maneno yake na kuwa HAKUNAGA kama CCM (nimeona kweny TV akiwa Mwanza).

umeniboa sana Suma Lee. laiti ungejua kuwa una mashabiki wa aina tofauti tofauti usingefanya kitendo cha kipuuzi kama hiki. umeboa sana

Inaonyesha jinsi gani ulivyo na akili pungufu ndugu yangu,
Wasanii watachotafuta ni umaarufu na pesa tu.
 
Nlishaufuta kwe pc yangu pamoja na simu!nlikuwa naupenda ila kuanzia leo nimeuchukia na kumchukia pia aliyeimba!ila njaa ni mbaya!bora upambane kuliko kumsujudia mtu au watu ili wakupe kidogo!sumalee i hate u!
 
Ni uelewa mdogo ulioonyeshwa na SUMA LEE. Alipaswa kutambua kuwa ana mashabiki wenye itikadi mbalimbali; si wote ni wana-CCM. Mmmmh! inawezekana aliagizwa kufanya hivyo na chama dola, chama chenye magamba ya um ri wa miaka 35.

Wanamagamba wanafikiri wanavua magamba yao chakavu kwa kutumia wimbo wa SUMA LEE? Hakika wamepotoka; kwa maana magamba ya CCM ni maisha magumu kwa watanzania - kila uchao bei za bidhaa zinapanda kwa kasi zaidi, ari zaidi na nguvu zaidi.

Sitaki tena kusikia wimbo wa sumu ilee.
 
...ana haki ya kutafuta mkate popote unapopatikana. Angekuwa mkabaji mtaani sijui ingekuaje na kile chama kingine hakina tabia ya kuwaita hawa jamaa.
 
Pesa ni mwanaharamu tatizo kubwa ni njaa unategemea akatae milioni kadhaa alizopewa na ccm!!!!!!!!!!!!!
 
kuanzia leo natangaza kuacha kufagilia wimbo wa HAKUNAGA kwa sababu mwanamziki aliyeimba wimbo huu SUma lee kaamua kuubadilisha maneno yake na kuwa HAKUNAGA kama CCM (nimeona kweny TV akiwa Mwanza).

umeniboa sana Suma Lee. laiti ungejua kuwa una mashabiki wa aina tofauti tofauti usingefanya kitendo cha kipuuzi kama hiki. umeboa sana

Nakuunga mkono mkuu,nami natangaza vita rasimi na familia yangu kutokusikiliza wimbo huu,na ikitokea niko kwenye sherehe basi nitatoka nje au kama nina mamlaka na sherehe hiyo nitaamuru wimbo wa hakuna uzimwe,kuanzia leo sitaki kusikia habari ya suma-lee,maana nimeona kwa macho yangu,kumbe dogo hafai wala hajui tunaelekea wapi,sitaki kusikia HAKUNAGAA TENA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom