Baba Mzazi Wa Mwanamuziki Diamond Aibuka-Soma ALICHOSEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba Mzazi Wa Mwanamuziki Diamond Aibuka-Soma ALICHOSEMA

Discussion in 'Entertainment' started by THE CHOICE, Jul 12, 2012.

 1. T

  THE CHOICE Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3]Baba Mzazi Wa Mwanamuziki Diamond Aibuka-Soma ALICHOSEMA[/h]

  [​IMG]

  BABA mzazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’, (pichani) Abdul Juma ameibuka ambapo mbali na tukio hilo pia amenena mambo mazito kuhusu mwanaye huyo huku akimsukumia tuhuma nzito soma zaidi kwa kubofya hapa TheCHOICE: Baba Mzazi Wa Mwanamuziki Diamond Aibuka-Soma ALICHOSEMA
   
 2. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Acha promo za kizamani..blog lenyewe ovyooo ata halieleweki.
   
 3. John locke

  John locke JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 603
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 180
  Acha hizo mambo arif!
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Man sorce si ungeweka GPL twende! we umetupeleka kwenye blog yako .. shukran though!
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Join Date : 11th July 2012

  Posts : 4
  Rep Power : 0
  Likes Received 1

  Likes Given 0

  Maisha ni malengo....

   
 6. princeamos

  princeamos Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani hii inachangiwa na kutokuishi na mwanawe kwa muda mrefu. Inaathiri sana saikolojia ya mtoto
   
Loading...