Pickaborn Puppet Show ya Star TV inafunika Comedy Show za Tv za Hapa Tz

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Maonesho ya vikaragosi yaliyoanzishwa na tar TV na kupewa jina la Pickaborn Puppet Show ni onesho zuri sana lililojaa ucheshi wa kweli. Wahusika wanatumia lafudhi za makabila mbalimbali hapa nchini, mmoja wa wahisika aitwaye Ndeshau anatumia lafudhi ya kichaga na anaschekesha sana. Vikaragosi vimeandaliwa na msanii maarufu wa vikaragosi hapa nchini Bwana Mwampembwa.
Big up Star TV kwa kubuni onesho hili ambnalo ni burudisho la kweli, kwa maoni yangu. Kile kipindi chenu cha Futuhi kulinganisha na Pickaborn hakitakuwa na washabiki wengi - again , kwa mtazamo wangu.
 
Asante JF-MBUNGE kunijuza zaidi. Kumbe wamekopi kutoka Kenya? Hiyo ya Kenya yaitwaje? Au wamekopi mpaka jina?


NIMESHAKUJIBU KENYA WANAITA zyz we type kwenye you tube xyz kenya utaona copy n pate hiyoo hata kina masanja waliiga huko huko churchil kenya sema wakabadili kdg style
 
Wame copy and paste XYZ ya kenya...v2 vingi sn wabongo wanaiga kenya

Kweli Mkuu wame-copy kila kitu kutoka kwa XYZ. XYZ inaoneshwa kila siku saa 2:35 - 3:00 usiku tv iitwayo KISS TV ya Kenya na wanawataja majina viongozi 'live' bila kuficha ficha.Kama una dish la FTA unaweza ukatafuta frequency za hiyo tv kwenye website ya Lyngsat na ukaanza tu ku-enjoy hiyo kitu kila siku badala ya mara moja kwa wiki ya Star tv
 
Back
Top Bottom