Tunga wimbo wa african,caribian,and pacific.group of states ushinde euro 5000.

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Baraza la sanaa tanzania BASATA limetoa tangazo hilo, kwenu wanajamv kama una kipaji cha kuimba nafasi ni yako.nchi 79 zinashiriki.wimbo uwe na malengo ya umoja huo wa afrika,caribian,na pacific.na kama unaweza kutunga katika kikundi unikaribishe kwani ninaweza kuimba,kwa yeyote mwenye nia anza kushusha mistari hapa NB.LUGHA RASMI NI KIINGEREZA,KIFARANSA,ESPANIOLA.
 
Baraza la sanaa tanzania BASATA limetoa tangazo hilo, kwenu wanajamv kama una kipaji cha kuimba nafasi ni yako.nchi 79 zinashiriki.wimbo uwe na malengo ya umoja huo wa afrika,caribian,na pacific.na kama unaweza kutunga katika kikundi unikaribishe kwani ninaweza kuimba,kwa yeyote mwenye nia anza kushusha mistari hapa NB.LUGHA RASMI NI KIINGEREZA,KIFARANSA,ESPANIOLA.[ mwisho wa kuwasilisha nyimbo ni 31st august2011
 
Back
Top Bottom