Radio zimeongezeka!!! sasa unaweza kuisikia TOP RADIO FM ya Morogoro kwenye Intanet kupitia www.radiostationstz.com. Sasa tumewaongezea nafasi ya kuchagua kipi cha kusikiliza kati ya vituo vya...
Sekta ya filamu Tanzania kwa sasa inajulikana duniani licha ya matatizo yake, licha ya mtayarishaji wa filamu wa Tanzania kuendelea kuishi maisha ya chini yasiyo tofauti na mtu mwingine wa...
UNASIKIA filamu fulani ya Kitanzania ikitangazwa sana kwenye magazeti na kwenye televisheni kama si redio.
Unahamasika kuinunua kwa ajili ya kuitazama wewe na familia yako wikiendi hii...
Baada ya kuanzishwa kwa matangazo ya digitali kumetokea msambaratiko mkubwa sana wa vituo vya televisheni hasa kutokana na kuwa na makampuni tofauti yanayorusha matangazo kwa njia ya digitali...
Viongozi wengine wanakurupukaga kwa interest binafsi, eti Huyu waziri mdogo wa utalii, sijui anaitwa Nyalandu kapiga marufuku kuuzwa pombe makumbusho ya taifa, sasa hajui kuwa inaendeshwa kwa...
Tangu jana huku arusha radio clouds haipatikani kabisa. Jana walimwita january makamba akaongelea kuhusu mambo ya digitali na kumaliza tu clouds hawakusikika teeeeeeeeeeeeeeeeena.
Poleni
Dar es Salaam. Wamiliki wa vituo vya utangazaji vya televisheni nchini, wamesema watasitisha kurusha matangazo ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa kutokana na kushindwa kumudu gharama za uendeshaji...
Napenda kuanza kwa kunukuu maneno ya Afande sele ndani ya wimbo wa MTAZAMO. "HUU NI MTAZAMO MASELA MSIJENGE CHUKI"
Nimetoka kuangalia video ya wimbo ninaoupenda sana wa "me and u" ulioimbwa na...
Habari wana jamvi,
Nachukua nafasi hii, kwa niaba ya wanajamvi wote na wapenzi watazamaji wa ITV ambao wapo JF kuipongeza kwa kuwa wamestahili kuitwa super brand no1 mna quality hiyo so keep it...
"MFUMO WA DIGITALI UTAWAANGAMIZA WASANII WA TANZANIA"....HAYA NI MAONI YA CPWAA KUHUSU CHANGAMOTO ZA TASNIA YA BURUDANI
Rapper Ilunga Khalifa aka Cpwaa amesema uamuzi wa Tanzania kuhama...
Hongera mzee Mengi kwa wazo lenu la kuzima matangazo ya televisheni.Hakuna ubishi kwamba idadi kubwa ya watanzania hawaangalii matangazo ya tv pale dital system ilipoanza kufanya kazi.
Hivi kwa...
"Huko Waliko" ni kipindi kipya cha TV kinachopikwa tayari kuja kwenye luninga yako siku za karibuni. Lengo la kipindi ni kuelimisha na kujulisha yale ambayo Watanzania wanaoishi ughaibuni...
Wadau,napenda sana kuangalia filamu za bongo movies lkn nashindwa kuzipata full online hasa nikitumia youtube,msaada tafadhali juu ya website ambayo naweza kuipata full filamu ya moses ya kanumba...
Sekta ya filamu Tanzania kwa sasa inajulikana duniani licha ya matatizo yake,
licha ya mtayarishaji wa filamu wa Tanzania kuendelea kuishi maisha yasiyo
tofauti na mtu mwingine wa kawaida! Hali...
Am a big fan of Bruno mars na songs zake za ukweli from his first album- Doo-wops and Holigans hadi It will rain lakini album yake ya sasa which goese by the title Unorthodox jukebox truly...
Sasa kama wewe ni msanii au mtu uliye wekeza kwenye sanaa kuna njia bora na rahisi ya kuendesha sanaa yako kibiashara,
Fanani Network ni mtandao unaofanya kazi ya kuwapromoti wasanii wa maigizo...
WAKATI Mkutano mkuu wa shirikisho la Filamu TAFF ukiendelea hali imekuwa mbaya kwa katibu wa shirikisho hilo, Wilson Makubi, baada ya kutimliwa na mkutano huu kwa sababu za ubadhilifu wa fedha za...