Kipindi Kipya Cha TV - "Huko Waliko"

Kipindi Kipya Cha TV - "Huko Waliko"

Jazzie

Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
73
Reaction score
35
"Huko Waliko" ni kipindi kipya cha TV kinachopikwa tayari kuja kwenye luninga yako siku za karibuni. Lengo la kipindi ni kuelimisha na kujulisha yale ambayo Watanzania wanaoishi ughaibuni wanayaona na kuyapitia.

Pata uhondo kidogo ndani ya Youtube.

HUKO WALIKO PROMO - YouTube
 
Back
Top Bottom