Video ya me & u ommy dimples vs vanessa mhhh!!!!!!???

Video ya me & u ommy dimples vs vanessa mhhh!!!!!!???

Monsgnor

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
551
Reaction score
564
Napenda kuanza kwa kunukuu maneno ya Afande sele ndani ya wimbo wa MTAZAMO. "HUU NI MTAZAMO MASELA MSIJENGE CHUKI"

Nimetoka kuangalia video ya wimbo ninaoupenda sana wa "me and u" ulioimbwa na ommy dimples Honestly nimekereka na umenibore hii ni kiroho safi kabisaaaaa ni kwa sababu nilichokuwa nakisubiria sikukipata na kiu yangu haikutimizwa,!
Kwa mara ya kwanza nilisikia wimbo huu ukipewa promo kupitia media mbalimbali, kwamba video itafanyiwa Ogopa , itakuwa kali lakini kinyume chake kimekuja kituko.
Script zenyewe haziendani na wimbo au lyrics Ommy anaonekana yuko saluni ananyoa sasa sijui vina uhusiano gani na maudhui ya wimbo, watu wanaonekana wanaruka serekasi wakati wimbo wenyewe ni wa mapenzi, alie edit nae rangi kashindwa kupangilia, anatuonyesha mvua ambayo hata kwa macho ya asiyekuwa na ujuzi anajua ni mvua fake, amejaribu kuweka background akashindwa kubalance rangi na target object! Vanessa anakatika katika tu bila mpangilio wowote! Baada ya k uyaona hayo ingawa mimi si professional wa haya mambo nachelea kuuliza nini ommy alikifata Ogopa, ni kitu gani ogopa amekifanya Adam juma hawezi! Kuna video kali tu bongo kuzidi hiyo, angalia video ya Listen ya Belle9,angalia video ya winnie ft aika, angalia video ya baadae ya ommy!

Kusema ukweli broo ommy wimbo ni mkali na ninaupenda ila video imebumaaaaaaaaaa!Bora Hata Ungeifanyia ITV production.

NI MTIZAMO WANGU MAZEE KIROHO SAFIIIIII!
 
i saw it...ni mbaya,haijaendana na wimbo.
 
Back
Top Bottom