Hongera ITV, Super Tv Channel no 1 Tanzania

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
864
Reaction score
213
Habari wana jamvi,

Nachukua nafasi hii, kwa niaba ya wanajamvi wote na wapenzi watazamaji wa ITV ambao wapo JF kuipongeza kwa kuwa wamestahili kuitwa super brand no1 mna quality hiyo so keep it up.

Ningeomba mboreshe zaidi huduma zenu mf. Kipindi cha isidingo kina jirudia rudia sana kwa hiyo wanaofatilia wanakosa mwendelezo (consistency).

Ni hayo tu.
 
Kwangu mie Star TV Africa ndio # 1 kwa hapa Tanzania.
  • Wanachambua vizuri sana magazeti asubuhi.
  • Channel yao inatazamwa sehemu kubwa ya Tanzania na ng'ambo (kabla ya digitali)
  • Jarida Maridhawa inachambua kwa kina mambo
  • Habari za kimataifa wanaripoti vema sana (Samadu Hassan)
  • Tuongee asubuhi ni kipindi huru kwa yeyote, zaidi wanatumia sana michango yetu humu JF
  • SOCCER, jamaa ni wazuri kuliko channel yoyote hapa nchini kwenye soka
  • BBC Swahili, ndio channel ya kwanza hapa nchini kurusha programu ya 1 kwa 1 kipindi cha luninga cha BBC swahili
  • STRAIGHT TALK AFRICA, ni bonge la programu la VOA linalogusa shughuli za kimaendeleo na siasa katika bara letu la afrika
  • LIVE PROGRAMS, jamaa wanavyo vipindi vingi ambavyo ni 'live'
  • DINI, wamevuka ng'ambo na wanayo sehemu ya kusikiliza neno la Mungu kwa Christians & Muslims (Japo ITV nao wanavyo)
  • Ni tv station kubwa (pekee) iliyo mkoani na inayoleta ushindani kwa Dar based tv stations na nchi kwa ujumla.
 
Mkuu nakuunga mkono kwa uchambuzi wako murwaaaa!
 
Hamna tv station ya maana hata bongo . Ni heri ni angalie Citizen tv ya kenya kuliko ----- wa hapa bongo.
 
Kwangu mie Star TV Africa ndio # 1 kwa hapa Tanzania.
  • Wanachambua vizuri sana magazeti asubuhi.
  • Channel yao inatazamwa sehemu kubwa ya Tanzania na ng'ambo (kabla ya digitali)
  • Jarida Maridhawa inachambua kwa kina mambo
  • Habari za kimataifa wanaripoti vema sana (Samadu Hassan)
  • Tuongee asubuhi ni kipindi huru kwa yeyote, zaidi wanatumia sana michango yetu humu JF
  • SOCCER, jamaa ni wazuri kuliko channel yoyote hapa nchini kwenye soka
  • BBC Swahili, ndio channel ya kwanza hapa nchini kurusha programu ya 1 kwa 1 kipindi cha luninga cha BBC swahili
  • STRAIGHT TALK AFRICA, ni bonge la programu la VOA linalogusa shughuli za kimaendeleo na siasa katika bara letu la afrika
  • LIVE PROGRAMS, jamaa wanavyo vipindi vingi ambavyo ni 'live'
  • DINI, wamevuka ng'ambo na wanayo sehemu ya kusikiliza neno la Mungu kwa Christians & Muslims (Japo ITV nao wanavyo)
  • Ni tv station kubwa (pekee) iliyo mkoani na inayoleta ushindani kwa Dar based tv stations na nchi kwa ujumla.

mkuu nakunga mkono
 
kwa kweli star tv na itv wanajitahidi.
 
Kipindi chao cha dk 45 kinaboa sana. Kile kipindi ni mdomo wa ccm. Hakunaga kama Star tv
 
Huu ni ukweli usiopingika kua Star TV ndo hiko vizuri sema Mengi kaonga huko ndo wakampa hiyo super brand no 1 lakini hawana jipya!!!!!!!
 
Kipindi chao cha dk 45 kinaboa sana. Kile kipindi ni mdomo wa ccm. Hakunaga kama Star tv

Mtangazaji mwenyewe anauliza maswali ambayo hayana uzito yaani ata mtu wa kawaida anaweza kujibu bila kuwa na takwimu. Ndo maana viongoz weng wanakimbilia kwenye hicho kipindi
 
Back
Top Bottom