Msamiati
R I P
- Mar 6, 2011
- 1,063
- 700
Sasa kama wewe ni msanii au mtu uliye wekeza kwenye sanaa kuna njia bora na rahisi ya kuendesha sanaa yako kibiashara,
Fanani Network ni mtandao unaofanya kazi ya kuwapromoti wasanii wa maigizo na kazi zao za sanaa kupitia njia ya mtandao.
Kama ni msanii ukijisajili unapata faida hizi
*Unatengeneza Profile yako ya kisanii
*Unaingizwa kwenye soko lao la wasanii ambapo waandaaji mbali mbali wa kazi za sanaa hutembelea kutafuta wasanii
*Unawekwa karibu zaidi na soko kwa kupata habari muhimu zinazohusiana na sanaa
*Unapata uhakika wa soko huru litakalo kutangaza kwa ushindani kulingana na uwezo wako.
Upande wa wawekezaji na waandaaji ndani ya tasnia hii Fanani network ni mahali ambapo
*utapata kila aina ya wasanii kulingana na bajeti yako, mpaka wasanii ambao wapotayari kufanya kazi bure na wenye uwezo mzuri katika sanaa.
*Soko kubwa na la pekee la Script Tanzania usigharamie utengenezaji wa film mbovu njoo
*upate script zenye ubora wa kiwango cha hali ya juu na zenye stori zenye mikasa ya kusisimua,
*Ukisajili mradi wa film kwetu tutakutengenezea movie profile pamoja na kuifanyia matangazo bure
Kwa waigizaji 1000 wa awali hakutakuwa na gharama yoyote ya kuingia kwenye soko.
Pia kama ni mwandishi kunafulsa ya kuingiza Tsh2000 kwa kila scene utakayo andika hata ukiandika scene 1 kisha utaingia kwenye nafasi ya kutengeneza mpaka tsh 200,000 kwa mwezi
www.FananiNetwork.Tk Tafsiri ya kibiashara kwenye sanaa yako