Clouds haisikiki arusha

Clouds haisikiki arusha

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Tangu jana huku arusha radio clouds haipatikani kabisa. Jana walimwita january makamba akaongelea kuhusu mambo ya digitali na kumaliza tu clouds hawakusikika teeeeeeeeeeeeeeeeena.

Poleni
 
Yes mnatakiwa kumshukuru Mungu kwa kuwakosesha fursa ya kusikiliza upuuzi wa akina Kibonde na Hando...

Kwani na huko Arusha mnaunga mkono ndoa za jinsia moja kama Clouds FM??

Clouds FM, the GAY'S Station,,,, ushahidi wa upo wazi kuwa wamelipishwa faini na karipio kali kwa kuchochea vitendo vya ushoga. Nashangaa watu wanasema hii ni supa brand!!!
 
Back
Top Bottom